cash out mkuu, hii game itachana sana mikeka ya watu leo.
Mapemaaa nimewahi kabla hawajablock.
Angalau mtaji umerudi mara tatu yake, otherwise ningeliwa
Maana zilibakia matches mbili tuuuuu.

Betting ni habari nyingine kabisa duhhhh

Mpaka muda huu
German kachapwaaaa na Colombia
Brazil kachapwa na Senegal
Portugal kabanwa ile mbaya
 
Ngoma imedunda kwa mreno.. acha nipumzike sasa nisubiri ligi kubwa zianze. Halafu kingine wakuu jitahidi usiweke mechi za kirafiki na zile 'serious' kwenye mkeka mmoja.
Screenshot_20230620-234518_SportyBet.jpg
 
Hivi mna uhakika hwajamaa hawatumii nguvu za kiza tufanye machaguo yasio sahihi

Nimchagua game mbili tu za ulaya nikazipa over 1.5
Cha ajabu sasa game zote zimekwisha fungana kasoro nilizo chagua mimi tu

Na hii ni kila chaguo utakalo chagua lazima utapigwa tu kudadeki
Mkuu acha tu😂
 
Vetted games for tomorrow...

Ntastake asubuhi... Najua baadhi ya markets zitakuwa zimeondolewa...

AAE7638 odds23 ntazismooth to 10 odds
 

Attachments

  • booking_code_AAE7638.jpeg
    booking_code_AAE7638.jpeg
    138.6 KB · Views: 8

Nenda kwenye kampuni yako kisha zipe ushindi hizi timu alafu zima simu lala, kesho asubuhi utakuja kunishukuru. Sehemu nilipo betia ni odds 212

Detroit Tigers
Miami Marlins
Atlanta Braves
Tampa Bay Rays
Chicago Cubs
Cincinnati Reds
Cleveland Guardians
Boston Red Sox
Texas Rangers
San Francisco Giants
Mkuu hao Boston Red Sox na San Francisco giants wanaweza kuwa Vimeo kwenye huo mkeka maana wanakutana na watabe pia...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom