Jaman wataalamu wa sportbet mnisaidie mbna hela yangu inakwatwa tuh na sielew vzur!? Nmeweka mkeka one cut nmekatw mara mbil na mkeka siuon kwenye lost wala pending pia nmeacha hela narud haipo wadau hii n nn et na naona wapi history ya betslip
 
Hahahaa, ligi maarufu ni MLB ya Marekani ata ile ya Korea nayo ni nzuri sana.
Nipo nimehamia kwenye baseball. Mchezo siujui ila angalau chance ya kushinda ipo juu kidogo na odds ni tamu. Huku utasikia innings karibu sana usiku wa leo kuna mechi kibao
 
Nenda kawashtaki kwenye bodi ya kubahatisha
Jaman wataalamu wa sportbet mnisaidie mbna hela yangu inakwatwa tuh na sielew vzur!? Nmeweka mkeka one cut nmekatw mara mbil na mkeka siuon kwenye lost wala pending pia nmeacha hela narud haipo wadau hii n nn et na naona wapi history ya betslip
 
Nenda kwenye kampuni yako kisha zipe ushindi hizi timu alafu zima simu lala, kesho asubuhi utakuja kunishukuru. Sehemu nilipo betia ni odds 212

Detroit Tigers
Miami Marlins
Atlanta Braves
Tampa Bay Rays
Chicago Cubs
Cincinnati Reds
Cleveland Guardians
Boston Red Sox
Texas Rangers
San Francisco Giants
Mimi nacheza MLB tu hizo nyingine sportybet wamebana options
 
A
sisi wa over 2.5 mpaka saivi tunategemea miujiza tu kwa hizo game.
Aliesema mpira dk 90 hakukosea....kuna siku niliipa timu nnayoiamini 99💯 over 1.5....

Mpaka dk ya 85 ni 0-0.....nikazima data....nikawasha fegi!..kupooza machungu..

maana ndiyo ilikua timu ya mwisho....

Ile nataka niingie Jf kufarijiana na wapwa....kumbe kwenye chrome web ya mwisho kuingia ilikua sporty Badala ya jf...ikanipeleka mojakwamoja SPORTYBET...

Nashangaa kukutana na "Congratulations you Won!" 🏆ft 2-0...aisee sikuamini!

Zaidi ya mara tatu ishanitokea hii
 
Hivi mna uhakika hwajamaa hawatumii nguvu za kiza tufanye machaguo yasio sahihi

Nimchagua game mbili tu za ulaya nikazipa over 1.5
Cha ajabu sasa game zote zimekwisha fungana kasoro nilizo chagua mimi tu

Na hii ni kila chaguo utakalo chagua lazima utapigwa tu kudadeki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom