Jaman kama una hela weka mzigo mechi ya lugano haft time inatoka 2-2
Umetumwa?
Screenshot_20230415-200434.png
 
Wakamalia Sasa Safari inaendelea hk kipande Cha reli tunachoanza nacho kidogo kina kuwa na usumbufu flani na ukizingatia kagiza kinaingia basi tumuembee anaetuongoza tufike mwanza salama,

Kwakuwa tutalala mwanza ili kesho Safari yetu iendelee basi maombi ni muhimu sn naamini tutafika mwanza tutalala na tutaamka salama na kuendelea na Safari
Mkamalia kwa emergency liandae treni lengine kama hill likidondoka ila liwe la safari fupi
 
Back
Top Bottom