wakati mwingine watu mnataka kumpa hela za bure Kanji,Saudiarabi na mpira wapi na wapi!
Ni hisia tu. Mimi ukiona mikeka yangu ya single na ya stake ndogo utashangaa. Huwa nazipa direct win timu zina odds mpaka 5. Mfano leo nilimpa coastal akiwa na odds 4, mkeka mwingine nikamdhamini kwa HT-FT COASTAL UNION/COASTAL UNION na ametoa vizuri kabisa.
 
Hizo mech zimetiki kaka???
Msweden
Ndio kaka zimeshinda zote
Screenshot_20221110-220636.png
Screenshot_20221110-220652.png
Screenshot_20221110-220721.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom