Bettors nadhani humu wataalamu wa mikeka wapo,wanaojua michezo tofauti tofauti kuliko hata soka lenyewe. Hebu naomba tu join hii link tuendelee kupata nguvu zaidi hata tukiwa nje ya JF. Kuna wakati tunakuwa na Social Bundle tu hatuna access na humu.
Gusa Link tuanze purukushani na muhindi...

Follow this link to join my WhatsApp group: JAMVINI:🎯1X2⚽
 
Mimi nimetoa 230,000 jana usiku mpaka sasa sijapata. hawa ndio walewale 22bet, wananiambia ni subiri mpaka masaa 24 isipofika niandike email kwa wataalam wao. yaan napenda app yao lakini wanachelesha malipo sana. kuna kipindi hela ilikaa kwao mwezi mzima ndio nikaipata. hivyo hawafai parimatch wanalipa hapo hapo hawacheleweshi
ingawaje parimatch app yao sio nzuri sana lkn wanaoptions nyingi na nzuri tu, huko ela bet kuna ela nimeacha huko nikatest kutoa elf 3000 nayo imegoma kufika kwenye Airtel Money yangu. wakati wanajiita 22bet baadae ya hii changamoto watu waliwakimbia wote wakaamua kubadili jina na kiwa helabet lakini tatizo ni liko palepale ma watu watawakingia wote
 
Ushauri wa bure ankali.

Ukiona timu ni strong na inaweza kuwa na possibility kubwa ya kupata matokeo basi ni vema uipe direct au double chance.Arsenal kutokana na mpira wao wa pasi nyingi huzifanya timu pinzani muda mwingi kuwa golini kulinda lango..hivyo tegemea magoli kuwa machache..kwa wiki mbili sasa arsenal amekuwa anapata matokeo ya ushindi wa goli moja tu...alianza na Bodo/glimt,akashinda goli moja dhidi ya leeds united na jana ameshinda goli moja. Msimu huu mpe direct win/ double chance / au handicap ya 1:0 .

PEC Zwole wanaongoza ligi daraja la kwanza uholanzi na imecheza timu ya madaraja ya chini so obviously alikuwa na possibility kubwa ya ushindi au kutoa sare.
 
W
Bettors nadhani humu wataalamu wa mikeka wapo,wanaojua michezo tofauti tofauti kuliko hata soka lenyewe. Hebu naomba tu join hii link tuendelee kupata nguvu zaidi hata tukiwa nje ya JF. Kuna wakati tunakuwa na Social Bundle tu hatuna access na humu.
Gusa Link tuanze purukushani na muhindi...

Follow this link to join my WhatsApp group: JAMVINI:🎯1X2⚽
Watsapp ujinga mwingi...halafu unajiexpose unaweza ukakutana na baba mkwe wako wote kwenye group la kubeti ikaleta taharuki. Ni bora JF ambapo unakuwa anonymous hakuna amjuae mwenzie hapa
 
Wazee leo nimejilipua kama ifuatavyo:
1666341974697.png
 
Arsenal akifungwa kwenye ligi watu wengi hapa tutalia na kusaga meno mana mikeka mingi naona yupo win/draw
 
Nlisuka treni wiki hii na nikatupia code humu...tayari mechi 11 zishachezwa na linaendelea kupumua
Leo nimefungua Sportybet nikachukua code yako nikaweka. Ina mechi kama 50. Nika stake 200Tsh.
Eti mkeka ukitiki nina milioni 42! like serious mkuu? Nasubiri hizo hela kwa hamu. Hadi nshaanza kupanga matumizi. Cha kwanza nalipa wanaonidai wote na riba juu! Pili,naongeza mke kabisa. Siwezi kula milioni 42 peke yangu!
 
Hata ungeweka 10 hyo hyo inakuja
 
Shida ipo kwa MLIPA,makampuni yote yaliwatosa,na mbaya zaidi wana makato makubwa sana.

Mfano ukiweka buku kwa makato ya Tshs 60,wao wanakata Tshs 100 au 120
Wajinga sasa kupata wewe pesa ndiyo shida ila kuingiza fasta Tu inangia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom