Kwahy mechi ikiisha 0:0 ni sawa na 0:1 au ameshinda yeyote.?
Sikia,
Kuna gemu inayochezwa uwanjani unaiona, na matokeo yake yapo livescore unaweza kuyafuatilia.

Na kuna game kwenye mechi hiyo hiyo mnakaa wewe na mhindi mnapanga matokeo yaweje na anakupa odds zake.

Sasa option ya Handicap ni matokeo ya mechi zote mbili. Ya ukweli na ya kupanga mezani.

Mfano tu labda unaweka gemu ya leo Simba anashinda kagera akiwa ana Handicap ya 0-1. Halafu tuseme Simba akashinda 2-0 matokeo ya Uwanjani.

Ina maana matokeo ya huu mkeka yatakua 2-1, yaani simba ana win ya 2-0 za uwanjani na kagera ana win ya 0-1 ya mezani. Hapo kama uliweka Simba win unakula mkeka wako.

Kifupi Handicap ni magoli ya mezani ambayo yatachanganywa na magoli halisi kutafuta matokeo ya mkeka wako.

Na nimetolea magoli kama mfano, but inaweza kua kona, faulo, saves, mipira ya kurusha, ball posession, etc. Ila tu itakua mjumuiko wa matokeo halisi pamoja na matokeo ya mezani.
 
Aston villa anadraw! 0-0
Spurs anashinda! 2-1
Everton anadraw! 1-1
Fulham anashinda! 1-0
Arsenal anadraw! 2-2
Inter Milan anashinda! 3-1
Torino anashinda! 2-1
Utabiri huu umeletwa kwa udhamini mkubwa wa poker foundation agency. Poker
 
Aston villa anadraw! 0-0
Spurs anashinda! 2-1
Everton anadraw! 1-1
Fulham anashinda! 1-0
Arsenal anadraw! 2-2
Inter Milan anashinda! 3-1
Torino anashinda! 2-1
Utabiri huu umeletwa kwa udhamini mkubwa wa poker foundation agency. Poker
Tuliompa Arsenal tukiamini Gabriel Jesus yuko kwenye form unatusaidiaje sasa?

🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Screenshot_20220820-113951_SportyBet.jpg
 
Wazee wa JACKPOT,kuna jakpot wame introduce Galsport.

Unaweka jero,katika game 15 ukikosa zoote,narudia tena UKIKOSA ZOOOTE unapewa Tshs 50,000.

Ila zile sheria zingine za ukipata zote hela ipo,ukikosea tatu hela ipo.

Headline hapa,UKIKOSA ZOOOTE unapewa Tshs 50,000
Tukajikoseshe huko, ila ni ngumu pia...maana huwa tunajitahd kupata tunakosa...bado ni mziki ule ule
 
Nimeifatilia parimatch naona iko vizuri, je mna ushauri gani?

Maana nilikuwa 22bet ikafungiwa siwezi deposit
Nikahamia betpawa nayo haina mechi za Tz

Nikahamia premierbet na yenyewe haina chaguzi nyingi kwenye timu za Tz...

Sportpesa sijawahi ipenda


Mimi nimeamua bet Ligi zifuatazo tu

Tanzania
EPL
PSG
Madrid
Barca
Ligi rahisi kwangu ni German, Spain na Italy.

France na Epl, naonaga Jau sana.
 
Yes yaani we jitahidi ukosee tu,ila hapo ni mwendo wa draw tu game zooote
Yes yaani we jitahidi ukosee tu,ila hapo ni mwendo wa draw tu game zooote
Nimewahi kufanya utafiti uchwara. Kila mechi 13 ambazo zinalingana nguvu kwa vigezo vya ODDS, angalau theluthi yake hutoa DRAW.
Nilifanya utafiti huo kupitia jackpot za sportpesa mwaka jana.

Kwa lugha nyepesi kila jackpot ya game 13 huwa kunakuwa na sare angalau 4.

KWA HIYO
Ukichagua DRAW game zote kwa malengo ya kukosa zote, nakwambia kuna game angalau 4 na zaidi utakuwa umepatia matokeo na utakuwa umeshachana.
 
Aston villa anadraw! 0-0
Spurs anashinda! 2-1
Everton anadraw! 1-1
Fulham anashinda! 1-0
Arsenal anadraw! 2-2
Inter Milan anashinda! 3-1
Torino anashinda! 2-1
Utabiri huu umeletwa kwa udhamini mkubwa wa poker foundation agency. Poker
arsenal arsenalll😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom