Tuendelee wakuu na katreni ketu haka kengine, uzuri wa vitreni unatakiwa uweke ela unayoimudu hata ukiipoteza usivae chupi kichwani

Dude hilo BETPAWA - 3727532 ukiweka buku 2 sawa na hata jero sawa

Mchana tuna-pick timu 3 au 4 unaweka stake kubwa ili ukikosa ujisemee moyoni bora ningenunua kuku (hiyo juu ni mechi ya utangulizi)
 
Jana nilirudi ulingoni baada ya kupumzika kwa mda mrefu sema ndo ivo sikuwa na mtaji wa maana nitaendelea kutupia code apa kama kawaida.
Screenshot_20220814-102610.png
 
Wadau wa kazi ivi optiin ya handcap ina stands for what
Maana rahisi ni kwamba unaipa timu ushindi wa idadi ya magoli kabla mechi haijaanza au wakati wa mechi inaendelea mfano Sasa
Real Madrid Vs Barcelona (0:3)
Sasa hapo maana yake Barcelona anaanza akiwa na goli tatu. Hivyo ili mkeka wako uchanike Real Madrid ashinde goli 3 na kuendelea Ila Barcelona asifunge goli. Ila Barcelona akifunga goli 1 ina maana ana goli 4 na zile 3 za Handicap.

Hii niliyoelezea ni European handcap nyingine wataezea wengine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom