United
Screenshot_20220813-200721_SofaScore.jpg
 
Man You sio timu ya kubetia kabisa

Nilikwisha kuwaonya kuhusu Man U juzi lakini watu hawataki kusikia, sasa ngoja mle mtalimbo! Bora waliobet kuwa yeyote ashinde! Hii timu ilishaoza siku nyingi! Hata akienda pale Pep au Klopp wataishia kufukuzwa tu! Na mzee wa magoli ya penalty mwenye miaka 37 anayedai kuwa anataka kuondoka ajiukize nani atampokea huko Ulaya?
 
Aise tatizo jina. Vipi mkuu katika orodha yako ni ipi nyingine iliobaki jina, nisije kuchezea zauso kama leo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom