Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,170
- 21,311
Hata mimi Hilo train ninalo aisee game 45 lakin zinakatika Kama utani utani
Tumerudi tenaaRasmi vita na kanjibah...
sasa hivi linasoma 22/39
Hata mimi Hilo train ninalo aisee game 45 lakin zinakatika Kama utani utani
Hamna dalili mkuu, tusubiri muujiza tuKuna dalili za fulham kupata goal kweli
Hili treni limeniacha njiani wakuu mfike salama mrudi na pesa nyumbani.Hata mimi Hilo train ninalo aisee game 45 lakin zinakatika Kama utani utani
Shida nataka kuwithdrawalMtafute etooo
Kanjibah kashaondoka na posho yangu...yaan kila nikikutana na muhindi popote pale huwa nahis namdai pesa zangu..Tumerudi tenaa
Mpaka sasa wako kimya mwenye kujua utaratibu msaada unahitajika nilistake 30KNimebet team mbili kampuni ya meridian bet za japan kumbe game postponed, wadau napata vipi pesa yangu maana game hazikucheza kabisa
😆😆😆Leverkusen shenzi zake