Mi huku nipo nipo, tatizo huko ni kwa muda
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah huku ni kwa muda, ila wakati huu wa masika mambo sio mabaya mkuu.Ila ile namba 01 yote iliyowashinda wachimbaji kwasababu ya maji imechukuliwa na machina kwahiyo mambo sio mabaya.Nikitoka huku naenda Chunya.

Mkuu sio wewe tu uliyepoteza, mimi hapa nina hasara ya 250K sema najua itarudi kwa njia nyingine.

.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom