Yaliyopita si ndwele tugange yajayo.

D7257EE betpawa over 1.5

Safari inaanza leo hadi tarehe 24/11.
 
Ninge stake elf 10 zingepigwa corner 15 corner
Screenshot_2021-11-07-21-38-37-00_69ae942e6370186523a3dec11f38c67a.jpg


Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Kwamba serikali ina hisa kwenye haya makampuni ya kubeti mpaka wapewe gawio mkuu
..dah kwhy ni rahis sana mchungwa kustaw kwny rami mkuu.

Ni kweli kbs ndo maana unaona kampun za betting kila.kukicha zinaongezeka ndo maana ni 1 kati ya sekta wanazo toa dividend kubwa serikalin sio bht mby wanapata sana hela zetu.
 
Kwamba serikali ina hisa kwenye haya makampuni ya kubeti mpaka wapewe gawio mkuu
Hujui kua serikal inachukua gawio kwny kika sekta lzm upeleke sio maombi ayo..na betting ndo inaongoza kumwaga mpunga kama taarifa zng ziko sahihi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom