Tuachiane homework kabla hatujaagana leo ni trh7 tengeneza kibubu kuanzia kesho trh8 anza kutunza pesa yoyote ile ambayo kila ukiona code unastake kisha mwisho wa mwezi bomoa kibubu.Awali nilikuwa kwenye group la facebook linaitwa WAZEE WA KUBETI TANZANIA nilifanikiwa kuondoka huko utumwani kwa kulifuta kwenye simu yangu.Jf imekuwa shida kuifuta kwa sababu ya masuala mengine ya muhimu sana yanayopatikana huko
kwa mtindo wa kukuta code yeyote na ku stake utaliwa sana, suka wakwako kwa kuangalia mikeka ya wengine unaedit unapata odds chache
 
Hii nilituma asubuhi saa8:52 nimejisikia leo nitoe msaada.baada yawatu kulia hasara sana,najua kuna watu mnzdharau sana ila amini watu wanapiga pesa mno.tuangalie Liverpool-west ham.
Screenshot_20211107-085220.jpg
 
Hivi ile option ya 22bet ya “Substitution player to score” kama ukiweka NO na mchezaji alieingia sub akajifunga inakuaje?
 
Kadri ninavoliwa .. ndo nazidi kuongeza kasi ya kubet .. mikeka yangu inachanwa na tim moja au mbili ..

Siachii .. kila wik naeka buku tano kanyi anpita nayoo
Saiv ishafika laki japo nilirudisha majuz kweny world cup qualification .
Sikati tamaa ila nimegundua hizi tim saiv kuna mkon wa mttu co bora
nahisi kuna kitu kinaendelea siyo bure ,Jana ligi ya Czech timu kubwa zimedraw,leo leo pia zimedraw .Zenit Leo kadi nyekundu,Ac Roma kafungwa .Ligi ya England Chelsea ana draw kumsubiri Mancity aliyefungwa wiki iliyopita ashinde ,Leo Liverpool ataleta pia surprise ,siyo bure nadhani makampuni ya betting kuna madili wanacheza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom