Mzee hii Sio 90% winning mi naona hii ni 70% ivyo taadhari inatakiwa kuwa kubwa
Vyovyote vile mkuu ndomaana ikaitwa betting, wakati ambapo wewe unaona asilimia winning ni 99% ndipo ambapo mkeka unachika na wakati ambapo unaona winning ni 70% ndipo ambapo utashangaa mkeka unawin. Nimeweka hela hapo,natumaini nitashinda.

Chamsimgi ni kusema na moyo wako mkuu.

ASANTE KWA USHAURI
 
Wadau naombeni matokeo ya game ya basketball Japan league 3 nachrki sofascore siyaoni nilimpa away win
 
Sina hiyo app mkuu
Screenshot_20210605-115810_1xBet.jpg


Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom