Screenshot_20200716-235651.jpg
 
Barcelon nilimuweka kwamba apate on target nyingi nikamtoa nikamuweka nikamtoa nikamuweka tena baadae nikaona huyu mchawi nikamtoa mazima.
Huyu Barcelona ni rais wa genge la wahuni nahisi huu msimu unaisha bila mimi kuwagusa tangu waliponichania mkeka wa Milioni 6 msimu jana.
Hata wawe vizuri kivipi huwa siwagusi huwa ni ngumu lakini huwa najicontrol
 
Wahuni sana hawa ... jana waliamua kutuchomesha na vi'odds vyao.
20200717_065203.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom