Odds 20+..
1592044253812.png
 
Mkuu hawa Yanga hawaeleweki.. Wakiwa ugenini wameenda sare na timu zilizoko mgongoni kwake Namungo(1-1) an Coastal(0-0), wamefungwa na KMC iliyopo nafasi ya 15(1-0).
Mwadui ikiwa nyumbani imeifunga Coastal(2-0) na sare na Namungo(1-1). Kwa hiyo unaona uwezo wa Yanga unavyobadilika..
Kwa hapa tunaweza tu kutegemea uzoefu wa Yanga.. labda wapate 1-0, hivyo ni salama kuweka Under 2.5 au Under 3.5..
Umenifungua macho mkuu! Naanua jamvi
 
Mm niliwahi kubahatisha bet yangu mwenyewe nikapata 2.3m m bet nikajaribu kizitumia hizo hela kununua fixed match tena wanavutia matangazo yao utasikia no chance to loose lakini sikupata hata moja na mpaka Leo baadhi yao wananitumia tips pamoja na muda kuisha sijui wamesahau kunitoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Uliweka match ngapi? Mkuu na stake yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom