Mkuu acha tu haya ndio yaliyonikkuta
Nini kimekukuta mbn husemi tunaeza toa hata mawazo ya msaada?
View attachment 1341594
Screenshot_20200130-232913.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Andaa mtaji kesho kutwa kuna SGR matata maana imeundwa week mbili kabla, ilikuwa kwenye kalakana flani hivi linafanyiwa utafiti, pamoja na kuukaza mataaluma ya reli ili treni isije anguka.

Litupie hapa mkuu nitembee nalo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
$1861
The higher the Stake the higher the Return
thumbs up mkuu
hua mnapotea sana wakongwe wa hizi kazi
Cc @kingz

Sent using Jamii Forums mobile app


Tupo aisee, majukumu tuu nje ya mikeka yanabana. Ila hatuwezi isahau asili na kilinge. Mara mojamoja nipatapo wasaa huwa narudi kujumuika kilingeni.

Hii kitu ni kama ugonjwa. Nimeamka nimekuta live game moja ya wamexico inazubaazubaa nikaongezeapo mtaji.

IMG_6463.JPG
 
wazee wa basketball kuna mechi kule NBA ipo live kati ya
Los angelos vs sacramento
hapo nenda kampe Los angelos ashinde ana odds 4.49
 
Back
Top Bottom