Ata mimi Baada ya muda mrefu leo nimewin bet nimepatia odd 55 da
Wakuu nashukuru jana haikuwa siku mbaya ila leo tuwe makini maana tunaweza kujikuta mitaji yote inarudi kwa Kanji. Watu wengi tulipata vituliza maumivu maana ni muda mrefu Kanji amekuwa akituchapa bila huruma:

1574579478108.png
 
Gold Vip Fixed Match From Source

★ 133 - River plate - Flamengo
[ HT/FT ] [ X / X ] -06.20

Gold Vip Fixed Match From Source

★ 106 - Everton - Norwich
[ C. Score FT ] [ 2 - 1 ] - 13.20

• This Is 1000% Fixed Deal

If your interested in buying anti-hacking
gadget, kindly send a DM.

Game above is 100% Fixed
I said Fixed . Please never doubt it

Anywhere you see this game, it is copied
from this official account. Be aware. I love all
my fans ..thanks for support. You are the
best. This game for send off
sawa sawa mzee wa fixed naona big win imetokea
 
LIVE IKULU CHAMWINO;- Bodi ya michezo ya kubahatisha imetoa gawio kwa serikali BILIONI 95.
Bodi ya Michezo ya kubahatisha imetoa Gawio la Bilioni 95 kwa Rais Jumapili hii
Halafu bado kuna wapuuzi wanasema kamari dhambi mara ooh fanyeni kazi..na wakati hizo pesa na wao wananufaika kwa namna moja au nyingine kwenye huduma mbalimbali..
 
Halafu bado kuna wapuuzi wanasema kamari dhambi mara ooh fanyeni kazi..na wakati hizo pesa na wao wananufaika kwa namna moja au nyingine kwenye huduma mbalimbali..
Katika hilo gawio kuna hela zetu nyingi sanaaaaa.....hapo hata kampuni nyingi ambazo serikali ina hisa zitasubiri sanaaaaaa na kwa matrililion ya karne kutoa gawio kama hilo
 
50/50
EPL
Ngoja tumrudishie kidogo kanji hela tulizompiga jana

Stake what you can afford to lose
Screenshot_2019-11-24-12-19-49-1.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom