1xbet imerudi mkuu? Au bado line ni safaricom?

Sent from my Nokia 6.1 Plus using Tapatalk
Tena mbona naona hii ya safari com ni nzuri kuliko ile ya kwetu kutoa na kuweka ni ndani ya dk 3 ila najiuliza siku wakitoa gafla mobile payment ya Safaricom tutakua na vilio vya kusaga meno humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu naomba mwenye link hii anisaidie, mimi kila nikifungua inanigomea au imebadilishwa?

1553798084552.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom