*******BET LOST*****

Duh,
Ni bora tu tumlilie Mwenyezi Mungu.

"Eeeh Mungu Baba, baba yetu mkuu ulie mbinguni.

Ebu tuepushe na huu upepo mbaya unaopuliza kuelekea kwetu

Kama ni majaribu, hebu tuepushe Nayo wkt huu

Kama ni mapepo, hebu yachomelee moto yasitusogelee tena

Kwa imani na uwezo mkuu ulokua nao,

Kwa moyo mmoja tunaamini umeshatenda miujiza.

Tunaamini mda wowote, kuanzia hivo sasa nyota zetu zakwenda kung'ara.

Tunaamini kuanzia hiv sasa, mitaji yetu yote inakwenda kurudi.

Tunaamini kuanzia hivi sasa, tunakwenda kutengeneza faida KUBWA sana kupitia jina lako.

EEH MUNGU TUSAIDIE.

Kwa pamoja,
****Wote Tuseme, Aamen*****
Amen..
 
Ameeen
 
Cha ajabu eti leo matokeo niliyokuwa nahisi kuwa yatatoka kwa full game yanaelekea kutoka .. ila nishaapa sintarudi huko wacha nikukuruke na live games mpaka niome tamati yake.
 
hahahah @deepond mkuu nacheka tu siyo kwamba nafurahia vipigo, Bali mnavyokemea mapepo hahah daah hii kazi hatari sana Mimi hapa hata Shemeji yenu tym ya kumchungulia nakosa kbs huyu kanji ananiweka bise hadi saa ingine najisitukia.
 
Noma sana Tumelikemea pepo mkuu
 
Dah, wee acha tu ndugu yangu.

Mm shemej YAKO keshanizoea, hii kitu ishaingia mpk kwny damu mpk kwny mfupa.

Sema sometimes INA tension ya hali ya juu sn

Hii siku ya Jana na Leo, imekua na upepo mbaya sn.

Inahitaj moyo wa ujasili sana kuhimili mikiki mikiki.

Yaan MTU uko macho 48hrs nonstop kazini, alafu eti unafunga hesabu na hasara.

KIUKWELI INAUMA SN,

Na kama huna roho ya kijasili, inaweza kukusababishia frustration.

Yaan unaezajikuta tu umemtolea MTU tusi BILA kujijua.

ALL IN ALL,
HIKI NI KIPINDI KIFUPI SN CHA MPITO TU,

NI LAZIMA KIWEPO ILI KULETA MAANA HALISI YA HII KAZI YETU YA BETTING.

KUA, HAKUNA KULA TU FAIDA 100%, PIA KUNA HASARA.

ANYTIME SOON,MAMBO YANAKAA SAWA.
 
Noma sana Tumelikemea pepo mkuu
kanji hana huruma haki ya nani, wiki iliyoisha nilimpga mfururuzo sasa baada ya hapo kilia nikitupia ndiano nanaswa mwenyewe. Jana kwenye zile games za uefa nilimtegea no send off mpuuzi mmoja akanianua! harafu cha ajabu kulikuwa option ya substitution 2HT machi zote 8 zilitoa. manaake pale ningemtegea hata buku 5 lazima ningemwanua hata kilo 3. sasa nikawa nashauriana na nafsi yangu , vipi Leo tuweke no send off, corner, .... hatimae nikaangukia pua
 
Cha ajabu eti leo matokeo niliyokuwa nahisi kuwa yatatoka kwa full game yanaelekea kutoka .. ila nishaapa sintarudi huko wacha nikukuruke na live games mpaka niome tamati yake.
Mbali na upepo mbaya ulovuma Jana na Leo

Bado live inplay inanafuu sn.

Hiki ni KIPINDI cha mpito tu, so soon mambo yanakaa level
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom