Mm sijui nimetoa laki imekwama hapa
Server yao upande wa app inashida kwny processing ya information.

Nmejaribu withdraw sahv ela kdg kwa app, imegoma kurudisha push msg yenye withdraw code

Nmejaribu withdraw tena kwa web, imekubali haraka sana.

Nadhan.
Tatzo naona liko kwny app yao.
Iko slow sn kwny kuprocess information.

Mwanzoni pesa yang ilkwama mpk Leo, nlpowaambia.

Wakasema app yao inashida, still iko ktk development stage.
Wakishaiweka sawa, watanirudishia miamala.

Wakashauri kwa sasa, niwe natumia web kwa transactions zote nnazofanya.

Ushaur,
Tumia web, maana mm tangu nianze kufanya miamala kwa web

Haijanisumbua tena.
 
So pesa yangu sitaipata mkuu?
 
So pesa yangu sitaipata mkuu?
Yaan hiyo endelea tu kusubir, Ila kama una nyingine

Deposit kwa web na uendelee na kazi

Binafsi,
nna pesa yangu ya deposit imekwama Kule tangu tar. 18 January 2018 mpk Leo haijafika.

Nyingine ya withdraw imekwama kule tangu tar 20 January 2018 mpk leo.

TUMIA WEB, NA ENDELEA NA KAZI
 
Back
Top Bottom