hongera sana mkuu ila tunaomba uwe unaleta hapa kabla ya game ili watu tupate kusafiria nyota kwa pamoja kwani kanji hana huruma mkuu
io n inplayho
hongera sana mkuu ila tunaomba uwe unaleta hapa kabla ya game ili watu tupate kusafiria nyota kwa pamoja kwani kanji hana huruma mkuu
Nasubiri mkeka wako mkuuWakuu mpo....plz screenshot ya Bankocep jamani
Mkuu tupia mkeka wako tucopy ya jana uliipiga vizuri ila nilichelewa kuionaBankocep vipi wakuu....ebu tupieni
Pamoja sana nimeokota baadhi hapo
Naomba mnisaide uchambuzi hapa ander - over hizi zinamaanisha nini mi nilikuwa najua over 2.5 ni goal 3+ sasa hizi zinanichanganya sana.FC Porto - GD Estoril Praia
Over 2.5 goals
1.49
Young Boys Bern - FC Thun
Over 2.5 goals
1.37
FC Lausanne-Sport - FC Lugano
Over 2.5 goals
1.73
Darlington 1883 - Gainsborough Trinity
Over 2.5 goals
1.52
Hamilton Academical - Aberdeen FC
1/2
1.23
Total Odds 6.89
PamojaFC Porto - GD Estoril Praia
Over 2.5 goals
1.49
Young Boys Bern - FC Thun
Over 2.5 goals
1.37
FC Lausanne-Sport - FC Lugano
Over 2.5 goals
1.73
Darlington 1883 - Gainsborough Trinity
Over 2.5 goals
1.52
Hamilton Academical - Aberdeen FC
1/2
1.23
Total Odds 6.89
Nimecheza liveho
hongera sana mkuu ila tunaomba uwe unaleta hapa kabla ya game ili watu tupate kusafiria nyota kwa pamoja kwani kanji hana huruma mkuu
Over 1.5 ndo inakuwa goal ngapi?IN GOD WE TRUST
MZIGO WA KESHO CHAMBUA ZA MAANA TOKA NAZO..
HELSINK WIN/GG/OV1.5/2.5
LIBERIA GG/OV1.5/2.5
TORONTO GG'/OV2.5/*STAKEWIFE*
NAPOLI GG/OV1.5
SEVILA WIN/GG
ALBIREX DC/OV1.5
KUOS DRW
ZURICH WIN/OV2.5
GOTHERBERG OV 2.5
SPORTING KC WIN/OV1.5
Na mimi mkuu bora nicheze virtual maana kupiga na kupigwa ni ndani ya dakika ya tatu tu wacha tulisongeshe mkuuNiliachana na hizi mechi za kawaida sababu unaweza weka laki ukasubiria masaa mawili afu ukakuta umefungwa
Bora virtual dakika 3 unajua mbivu na mbichi