Thanks alot man ... nimejaribu ku-google na kuingia youtube nikakutana na video kadhaa zinaelezea hii kitu. So naendelea kuisoma ... nimejaribu naona km iko poa hivi. Ule mtaji wangu wa 200K uliokwenda na maji kumbe ningewekeza huku ningeambulia kitu.
Usiende kichwa kichwa. Subiri uone kama root atakuja na hiyo screenshot alio sema. Huko kupoteza laki ni kugusa tu.
 
Thanks alot man ... nimejaribu ku-google na kuingia youtube nikakutana na video kadhaa zinaelezea hii kitu. So naendelea kuisoma ... nimejaribu naona km iko poa hivi. Ule mtaji wangu wa 200K uliokwenda na maji kumbe ningewekeza huku ningeambulia kitu.
IMG_20170809_172556_546.JPG
IMG_20170809_172539_268.JPG
IMG_20170809_172519_044.JPG

2+ ni options nzuri kweny virtual kabla huja place bet zi study game zinavo kwenda iyo siku kisha jitafutie timu za uhakika zinazo fungana sana

....

Sent from my iphone 6s using Jamii Forum Mobile app
 
Virtual naona hawataki toa ushirikiano afu Root mchoyo sana wa kutoa mbinu.
Muhimu chezeni in play tafuta odd 1.50 weka stake 100000. Cheza Mara 6hadi8 utakuwa umeingiza pesa nzuri kwa siku.
Usipanick mkuu mbona hapo juu nimefafanua vizuri sana?
 
Kutokana na nilicho kiona. Virtual ya vfl

Option ya 2+ ndio angalau.

Ukicheza normal tegemea surprise timu kubwa kupoteza au kutooa droo.

Cha msingi cheza magoli au double chance basi.
 
Waje na majibu hapa hahaha sio kutwambia tumetengeneza faida kadhaa bila kutuelimisha na sisi.

koncho77 usiishie ku like tu leta majibu

Habari aisee

1. Mechi nyingi sana kutabiri mshindi ni ngumu, hivyo basi njia pekee ni kuagalia timu gani inacheza na timu gani na pia twaangalia odds, mfano japan akiwa anacheza na Brazil upatikanaji wa magoli zaidi ya moja ni rahisi na odds zake ni 1.18- 1.3 Au waweza mpa Brazil win ingawa saazingine hutoka draw.

Timu ngumu sana kufungwa ni Cameroon na hiyo ni kama inacheza na England au Spain hapo utakuta wamekupa odds 1.16- 1,18 kwa goli 1 tu yaani over 0.5

Faida inapatikana kwa kuweka stake kubwa kweye hizo odds ndogo na sababu mechi inachezwa kwa dakika 3 hivyo ni rahisi sana kwa wewe kupata faida haraka endapo ukawa wacheza na hizo odds ndogo ndogo

Kiufupi sana sana nafata jina la timu na pia sababu nimeshacheza michezo zaidi ya 200 ya virtual kwa premier na williamhill najua timu gani itatoa na wakati gani hiyo timu haiwezi toa hivyo basi nacheza michezo mi3 afu naacha ipite 3 bila kucheza
 
Pamoja sana
 
Niliachana na hizi mechi za kawaida sababu unaweza weka laki ukasubiria masaa mawili afu ukakuta umefungwa
Bora virtual dakika 3 unajua mbivu na mbichi

Mkuu Root wait a minute. The more mnavyozidi kuilezea hii virtual ndivyo ninavyozidi kuwa sielewi. Swali langu ni hili....hizo game za virtual zinakuwa ni real games au zinakuwa just created matches to play a game..!? And then hizo dakika tatu za game, hapo ni full match..!? Kwa sababu kama ni real games sielewi magoli hayo yanapatikana vipi ndani ya hizo dakika 3.
Naomba nieleweshe mimi Mkuu.

Nakala isambae kwa anayeweza nijibu maswali haya pia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom