Mkuu root nitakuuliza maswali kadhaa usipo yajibu bado utakuwa hujatusaidia sisi wadau wengine.

Unatumia sababu gani kuamini kuwa timu fulani inashinda wakati kule hakuna kufuatilia historia ya timu?

Au unacheza na wingi ama uchache wa odds?


Tuambie ni mbinu gani unatumia kuweza ku tengeneza faida au una place tu bet yako?

Majibu tafadhali. Ukimya wako ktk hili ndio kushindwa kwetu tusio jua mbele wala nyuma.

Nakala imfikie koncho77
Katika virtual huwa sichezi win direct.

Yah huwa naangalia na odds pia maana odds kubwa ni nadra kutoka.

Stake yangu ni laki 2 na odds zangu ni 1.25 hadi 1.30.

Huwa nacheza single bet.

Option yangu ni 2+.

Kwa siku huwa nacheza mara 5
Mugerick Buddy
 
FREE HAZIUZWI
Screenshot_20170809-160634.png
Screenshot_20170809-160623.png
Screenshot_20170809-160551.png
Screenshot_20170809-160543.png
Screenshot_20170809-160535.png
 
Yani naona mapicha picha tu ... especially ya Premierbet, sijui chochote kuhusiana na Virtual games. Ngoja nigoogle nijue inachezwaje.
Rahis sana mbona iyo kitu Buddy espcly hii VFL ya premierbet zina wekwa mech ambazo zinachezwa kwa dk3 so option kadhaa zina kuepo
eg win/draw/loose
both team score
goals 2+,3+
who score first

so is up to you kuchagua which option suits you better
kuna team kama
Germany
Argentina
Brazil
iz mara nyng kutoa 2+ ni kugusa tuuu

kikubwa kusiwe na tamaa ya odds maana unaweza jikuta una mnufaisha kanji within 3minutes izo

Sent from my iphone 6s using Jamii Forum Mobile app
 
Rahis sana mbona iyo kitu Buddy espcly hii VFL ya premierbet zina wekwa mech ambazo zinachezwa kwa dk3 so option kadhaa zina kuepo
eg win/draw/loose
both team score
goals 2+,3+
who score first

so is up to you kuchagua which option suits you better
kuna team kama
Germany
Argentina
Brazil
iz mara nyng kutoa 2+ ni kugusa tuuu

kikubwa kusiwe na tamaa ya odds maana unaweza jikuta una mnufaisha kanji within 3minutes izo

Sent from my iphone 6s using Jamii Forum Mobile app


Thanks alot man ... nimejaribu ku-google na kuingia youtube nikakutana na video kadhaa zinaelezea hii kitu. So naendelea kuisoma ... nimejaribu naona km iko poa hivi. Ule mtaji wangu wa 200K uliokwenda na maji kumbe ningewekeza huku ningeambulia kitu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom