Vodacom na M-Pesa yao wameniangusha sn leo

Wacha niwe mpenzi mtazamaji tu hakuna namna !
 
Imesha soma? Mimi paka sasa hakuna

Hapana mkuu bado bila bila ... M-pesa wamezingua sn leo ... nlienda kuweka hela nyingine kwny m-pesa mpk sasa haijaingia

Leo mitimu ya kumwaga, nilinuia kuweka 50K na odds zangu 2 saaaafi. Sasa wameshikiria 120K yangu ... si premierbet wala kurudi kwny account yangu ya m-pesa ...
 
Nimewatumia e mail mara mbili kimyaaaaa hata majibu hakuna.

Na bora hawakuweka namba ya simu wangekipata cha mtema kuni kwa jinsi ambavyo ningewasumbua
 
d713fc29d3e336ab6ee159b0fb5a6719.jpg
Premier na wenyewe wameanza useng.e manina,,yani huwezi kuchanganya over 1.5 kwenye multibet..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tranmere Rovers - Woking FC
(0)Tranmere Rovers
1.20

Wolverhampton Wanderers - Yeovil Town
(0)Wolverhampton Wanderers
1.12

Rotherham Utd - Lincoln City
(0)Rotherham United
1.60

Odds 2.15......yule mwenye laki 3 aweke hapa ela yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom