hbi
JF-Expert Member
- Feb 6, 2011
- 678
- 297
Siku ukiliwa unaanza upya?nataka hiyo hela ninayo kula ndo naifanya stake ya kesho yake kwa maana hiyo inakuwa inaji double kila siku
Siku ukiliwa unaanza upya?nataka hiyo hela ninayo kula ndo naifanya stake ya kesho yake kwa maana hiyo inakuwa inaji double kila siku
ha ha ha mkuu nafanya trial kwa siku tano au sita nikila nazitoa kwanzaSiku ukiliwa unaanza upya?
Wazo zuri kaka ngoja nipitie mechi moja baada ya nyingine tuone tunatokajeWakuu naombeni tushirikiane kutafuta Odds 100+ kwa ajili ya weekend,binafsi nataka nirisk kama 20K hv kwenye hilo kokoro.
Ni vizuri tufuate most probable(less risky)options hata kama slip itakuwa na games nyingi but target iwe ni odds 100 na kuendelea.Binafsi nimeanza hivi so nategemea ushauri wapi nibadili na wapi pako sawa.
View attachment 463610
Odds 428 hapo.
cc Buddy nyegere86 Mtoto wa nzi koncho77 jaykiwele Mr. Wise na wengine wote.
Nipeni mawazo hapo nataka nilipue
Anderlecht usimpe direct win bora umpe leedsHapo vip wadau.... ??? Ya mwisho ni monaco win*
View attachment 463699
nataka hiyo hela ninayo kula ndo naifanya stake ya kesho yake kwa maana hiyo inakuwa inaji double kila siku
Nipeni mawazo hapo nataka nilipue
Uko vizuri ... ila hawa egypt sijawaelewa safari hii...!!Leeds Win 1.72
Liverpool Win 1.46
Egypt 1X 1.22
Total odds 3.06