Asante buddy nimeanza project mpya jana ya kumla kanji laki moja kila siku kwa stake kubwa. Jana niliweka stake 120 000 nikamla 220000 leo nataka niiwekeze tena hii 220 000 ilete 320 000. Ndiyo maana leo nahitaji hizo odd chache. Nataka nichague hapa

Xhanti win
Zulte win
Napoli vs Fiorentina over 1.5
Alaves win or draw
Gent win or draw
Kwani huu mkeka gani aseee.izo option za kumix sijaziona mbet
 
Capture 5.JPG


Ile Series yetu ya 2.0 ODDS inaendelea....
Leo ni Season 01 epsode 02
 
upload_2017-1-24_13-47-1.png


CBA,ODDS 15.56 MeridianBet.

Hivi haya majamaa mbona yanazingua kwenye withdrawing online bila taarifa yoyote kwa wateja wao?
 
Sure... kuna app ninayo...huwa...wanaziotea...sana...
Naomba hiyo app mkuu
5fae95898f999647bd366c553f8baf69.jpg

Katika harakat za kusaka mtaji nilipishana na hawa tena ila bado hali mpaka nikajiuliza huenda kubet ni kipaji wengine hatuna

Wale wazee wa Stake kubwa kubwa, angalia MayWeather kaingiza dola elfu 25 baada ya kuweka stake ya dola elfu 30
18aab7924d0b7c34c94c704a98e62491.jpg

lazima akae mtu hapa

f75a6baf1e85c9a9180a7e7eb4edaecb.jpg

Ten games
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom