Msaada namna ya kufungua meridian account ,nmedownload app lakin nkifungua nakutana na kichina tupu.
Sikushauri hiyo meridian watu wana lalama kila siku katika swala la ku withdraw japo na kwengine matatizo yapo ila jamaa wamezidi pendekezo premier au mkeka bet maana unaweza deposit na withdraw tumia Tigo au Voda ila meridian Voda tu na withdraw mpaka kwa wakala ko jiandae kwa hizo changamoto.
 
Leo nimejikuta naikumbuka mkekabet ya zamani ... ilikuwa poa sn

upload_2017-1-24_9-15-52.png



upload_2017-1-24_9-16-13.png
 
Kuna jamaa alitoa tahadhar kwamba tusimpe win Brest tatizo alichelewa Sana mda ambao tumeshaweka mikeka muda mrefu
 
teh teh hatar san mi tok wabadilishe mkekabet cjui mabadiliko yao yalikuwa na mkos cjawah kuwapiga aisee zaidi ya meridian na premier
Naomba msaada jins yakulipia mkeka bet nimemaliza process zote kasoro kulipia natumia tigo pesa
 
Wakuu hawa mkeka bet ukishabet na kulipia kila kitu kama unataka badae uje kuangalia mkeka wako kama umesoma au haujasoma unafanyaje maana kila nikimaliza kubet inakuwa ishu kuna kuona mikeka yangu
 
Wakuu hawa mkeka bet ukishabet na kulipia kila kitu kama unataka badae uje kuangalia mkeka wako kama umesoma au haujasoma unafanyaje maana kila nikimaliza kubet inakuwa ishu kuna kuona mikeka yangu
Swipe from right to left itakuja menu tafuta neno Bet history utakuta hapo mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom