Jana nilijaribu ule wa 10 minutes droo. Sema Juve na Athletico wakaniharibia
6134f962ef38801178dc6b2be907ff34.jpg
 
Walioufata ule Mkeka wenye odds 10.44 jana Hongereen sana,,,

Ila Mimi ni QUMQER SANA ndondocha mm sina akili yaaan mbwembwe zote zile sikuwa nimeweka hela ule Mkeka niliogopa ***** zangu kweli mimi ni LOFA namba 1 dunian Fyuuuuu
Unazingua kaka uliachaje hela hiyo
 
5fae95898f999647bd366c553f8baf69.jpg

Katika harakat za kusaka mtaji nilipishana na hawa tena ila bado hali mpaka nikajiuliza huenda kubet ni kipaji wengine hatuna
 
Wale wazee wa Stake kubwa kubwa, angalia MayWeather kaingiza dola elfu 25 baada ya kuweka stake ya dola elfu 30
18aab7924d0b7c34c94c704a98e62491.jpg
 
League ya Italy red card kitu cha kawaida sana....league ambayo haitoi sana kadi ni Germany...Spain...England....na..ndio...maaana...opt...hii..utaikuta...league za..Italy...Chile..Argentina...Colombia...huko
option hiyo ya red card iko meridian mkuu?????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom