Kumbe hakuniharibia peke yangu


Mshenzi sn huyo ... HT aliongoza 1-0 nikajua mambo mazuri, yakaja kuruhusu jamaa wasawazishe na kumpiga kbs. mxiiuuuuuuu. 50K yangu imeenda na 200K ikabaki kuwa ndoto tu. Hili gundu sijui litaniisha lini aseee
 
Wakuu nisaidieni, hivi leo kuna UEFA u 19 na ya wakubwa?? maana nikiangalia mkekebet nakuta UEFA U19 zinaanza saa tisa alasiri, lakini nikja M bet nakuta zinaanza saa tatu dk 45 usiku! lakini majina ya timu yanafanana
 
Jamani naombeni mkeka umu ni copy na kupaste wale wataalamu wa kubet maana mimi nyota yangu imezimwa sijui
 
Leicester vs copenhagen- 1X Bayern Leverkusen vs Tottenham- GG CSKA Moscow vs Monaco- Over 1.5 Gillingham vs Walsall- 1st H Under 1.5 Barnsley vs Newcastle Untd- Over 1.5 Real Madrid vs Legia Warszawa- Over 1.5
 
Both teams to score
1476783750506.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom