George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,021
- 4,913
Ameeeen..!!!ST.Etienne...GG
Roma...GG
Ajax...GG
Shalke 04....GG
Donetsk...GG
Genk...GG
Odd: 34.69 X 50,000 = 1,734,606.9/=
Maombi yenu wadau
In Kakobe Voice
Ameeeen..!!!ST.Etienne...GG
Roma...GG
Ajax...GG
Shalke 04....GG
Donetsk...GG
Genk...GG
Odd: 34.69 X 50,000 = 1,734,606.9/=
Maombi yenu wadau
Mkuu vip hiyo sio namba ya admin?Kima wew
Kweli Kabisa mkuu...Ili kanjibah alie tufanye ushirikiano wa hali ya juu sana,na ikibid tuache betting za kutoa direct WIN,tucheze kama GG,over/under (hasa ya 1.5).
Anatumia Jina gani instagramNiliweka humu jana hiyohiyo. Fuatilia post zangu jukwaa hilihili maana kuna baadhi niliwa mention pale
Tupia kitu cha leoHapo kanikosesha laki na usher.......ngoja nicheke tu
yaaah kaka ndio huo. mm nimeuedit mkeka wako nikamtoa mainz nikamweka Astana ushindi mkavu na GG mechi ya mainz. Ule mwingine nimemuua southampton.Unasema huu? View attachment 409055
Kima wew
Maombi pia muhimuyaaah kaka ndio huo. mm nimeuedit mkeka wako nikamtoa mainz nikamweka Astana ushindi mkavu na GG mechi ya mainz. Ule mwingine nimemuua southampton.
alisema anaitwa ek_eteNaona ulikuwa unatupima imani.. Mbona ujaleta feedback ya name..
dillemaHivi kanjibai kwenye uzi anatumia jina gani
Jina la mwanzisha uzi!Hivi kanjibai kwenye uzi anatumia jina gani
We stallet wwdillema
Lumumba FC na we upo huku ndo mnaleta gunduJina la mwanzisha uzi!
Na Mungu anakuona