tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 21,887
- 18,301
mkuu hata mimi nimeamua kukuiga ili ni-accelerate mtaji kidogo kidogo ligi zikianza niwe na kianzio.Nimekuwa mfuasi wa single na double bet saiz maana ukiweka nyingi kila fei ngumi za uso
mkuu hata mimi nimeamua kukuiga ili ni-accelerate mtaji kidogo kidogo ligi zikianza niwe na kianzio.Nimekuwa mfuasi wa single na double bet saiz maana ukiweka nyingi kila fei ngumi za uso
Hapana bhana, mm nimempa spain ashindeHahahahaaa...naona umebana kwenye kona unachungulia mkuu, umenifanya nicheke kwa sauti aisee.
Bet wonView attachment 352723 Naijaribu hii option.karibu
Hahaha...ziachie sasa zitapasuka maana sipati picha jinsi ulivyokuwa umezibinya, hongera sana aisee.View attachment 352723 Naijaribu hii option.karibu
Hahaaaaa! Jamaa alikuwa haamini dk 87Bet won !!!
Hongera sana mkuu ...
hataree sanaHahaaaaa! Jamaa alikuwa haamini dk 87
pamoja mkuu, maana naona walikuwa na nafasi za ku score ila ndo gameHahaha...ziachie sasa zitapasuka maana sipati picha jinsi ulivyokuwa umezibinya, hongera sana aisee.
Hahaaaaa! Jamaa alikuwa haamini dk 87
Hahahaa...ukiongezea na Konyagi ndo unalowa kabisa.Hahahaha ... huu mchezo sometimes presha balaaa, mtu anaweza akashangaa unatoka jasho tu ....
hauhitaji hasira, la sivyo unaweza kufa aseeHahahaa...ukiongezea na Konyagi ndo unalowa kabisa.
Hahahaa...ukiongezea na Konyagi ndo unalowa kabisa.
1.37 , double chance (1x)huyu rosengard ni , vp wazee? odd kibao
Jaribu browser iliyokuja na simuNi browser gani android mnayotumia kuaccess premier bet? Nimejaribu chrome, opera na UC browser zote nashindwa kuaccess *my account*
Aiseee leo mi nawasubiri Austria (Regionalliga West & Mittle) ... natafuta odds 5 natia 50,000/-
Bet win.. Hongera mzee mwenzanguView attachment 352723 Naijaribu hii option.karibu