Hivi kweli Man City & PSG walishindwa kupata hata goli moja kipindi cha kwanza :(:(;)

upload_2016-4-13_8-20-21.png

Yamenikosesha 140K ... mxiiuuuuuuuuuuu !!
 
Heshima kwenu wakuu.. naomba mnijuze kwa anaejua jinsi ya ku withdraw cash, kwa meridian.
naona ile sehemu ya Deposit/withdraw haipo. nifanyeje
 
Mkuu hiyo option ya ku withdrawal inaonekana lakini lazima u change version iwe desktop version utaona hiyo option
 
Wakuu toka jana naomba kuelekezwa kujiunga mkeka bet hakina anae nipa ushirikiano maana nimechoka kutembea na mikaratas mingiii
 
Habari zenu wanamichezo wenzangu, bila shaka muu wazima wa afya na mnaendelea na harakati za kujitafutia mkate wa kila siku.

Kwa muda mrefu hili jambo limekuwa likiniuma sema nikaona leo nilitoe moyoni, yapata muda wa miezi mitatu tangu nianze rasmi kwenye biashara hii ya kubashiri.

Nimekuwa nikitumia Sites mbalimbali kama Predictz, Forebet, WinDrawWin, SoccerVista, SoccerPunter kwa kipindi chote kwa kufuata ubashiri wao lakini nimekuwa nikichezea kipigo toka kwa Muhindi.

Hela niliyowahi kula ni Tsh6900/= basi zaidi ya hapo hakuna, japo kuna siku niliwahi kumkosa Muhindi Milioni 25 kwa kukosa timu moja kati ya Saba nilizokuwa nimeziweka kwenye mkeka wangu.

Mtindo wangu wa ku-bet nimekuwa nikiweka timu nyingi alafu hela ndogo, mfano timu 12, 10, 7,9,8 kwa mkeka wa normal, kwenye mkeka wa Ngumu Kumeza/ule wa HT na FT huwa naweza timu tano, tatu mpaka nne.

Kiwango cha juu nachoweka kwenye hiyo mikeka ni 500 ikizidi sana 1000. Nahitaji ushauri wenu niweze kumpiga Muhindi maana mpaka sasa ningekuwa nishanunu DSM la Mbagala Tandika.

Nahitaji mnisaidie nifanyaje ili niweze kutusua kama vijana wengine.
 
kwa muhindi hamna option kibaya zaid anatenganisha timu hawez kukuwekea timu za kueleweka ktk longlist moja hama fasta
 
Fanya hivi. Weka hela kwenye Account yako ya mpesa,
-ingia kwenye menu ya mpesa.
-chagua lipa bili
- ingiza namba ya kampuni 238844
-namba ya kumbukumbu andika 'Mkeka'
-ingiza kiasi n.k
-account yako itafunguliwa kisha utatumiwa namba ya siri utakayokuwa unaitumia pindi ukitaka ku-log in Na hela uliyodeposit utaikuta kama kianzio kwenye account yako

Wakuu toka jana naomba kuelekezwa kujiunga mkeka bet hakina anae nipa ushirikiano maana nimechoka kutembea na mikaratas mingiii
 
Attachments

  • 1460549860403.jpg
    1460549860403.jpg
    50.6 KB · Views: 37
Unaweka 500 ili ule 25M! wewe ni jipu.

Weka 50,000 chagua timu za uhakika hata tatu hapo haukosi faida ya hata 50,000.Tafuta mtaji kisha wekeza.

Mfano nimejaribu hii hapa chini kama ukiweka Tsh 50,000 kama stake:

Plzen - Mlada Boleslav 1.40 Plzen Win
Fc Sion - Fc St. Gallen 1.40 Fc Sion Win
Fc Lugano - Fc Basel 1893 1.40 Fc Lugano Lose

  • Possible winning Tsh 145,040.00
  • Tax on winnings (18%) Tsh 17,107.20
  • Possible winning (after winning tax) Tsh 127,932.80
Faida ni Tsh 77,932/=
 
Tuchambuen hizi pls
Basel
Aalborg
Fc sion
Victoria plizen cc roots,mr mancity,wakusoma,mzawa hasilia na wengine wote
 
Fanya hivi. Weka hela kwenye Account yako ya mpesa,
-ingia kwenye menu ya mpesa.
-chagua lipa bili
- ingiza namba ya kampuni 238844
-namba ya kumbukumbu andika 'Mkeka'
-ingiza kiasi n.k
-account yako itafunguliwa kisha utatumiwa namba ya siri utakayokuwa unaitumia pindi ukitaka ku-log in Na hela uliyodeposit utaikuta kama kianzio kwenye account yako
namba ya kumbukumbu ni 123458
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom