Wana na wadau wote wa hili jukwaa mbona now days hamtumi mikeka ....jukwaa limepoa sana....naona watu mnaelekezana jinsi ya kupata link za kubetia MIKEKA MIKEKA MIKEKA hyo tumeni tuburudike pamoja
 
Wadau wa Jukwaa, tafadhali naomba msaada jinsi ya ku-withdraw pesa kutoka kampuni ya betting ya Ladbrokes yenye tawi lao hapa New Africa Hotel
 
kahela ka jana
 

Attachments

  • 1451389353492.jpg
    1451389353492.jpg
    40.8 KB · Views: 140
Mimi m bet kila siku wananila tu..jana southampton kaniharinia sanaaa...yey tu ndo kachana mkeka mzma wa timu saba .....cjui kma ntakulaaga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom