Dah haya ni majanga
 
Attachments

  • 1433108222228.jpg
    1433108222228.jpg
    19.9 KB · Views: 213
Kaanza juzi juzi tu hana hata miezi miwili.
Nimeambiwa anaitwa sony...
Yuko magomeni, karibu na kituo cha Bakhresa..
Nitamtembelea siku moja, hajaja online bado.

Okey pia kuna mwingine jina limekataa kukaa kichwani yupo kikondoni pale studio karibu na petrol station.
 
28.png

NB: HUU UTABIRI WA KUZUIA MAGOLI YASIVUKE MATATU.... NATUMIAGA MTANDAO WA Soccer football predictions, statistics, bet tips, results ambapo wanatabiri kwa asilimia ya uwezekano wa magoli... wanatabiri magoli yatakuwa 1.5 , 2.5 au 3.5 kwa kila mechi kila siku ambacho nafanyaga mimi ni kuangalia asilimia ya kufika magoli 3.5 ( yaani magoli ma4) hapa nachagua mechi ambazo zina asilimia 25... kushuka chini....... na haka kautafiti mpaka sasa katika jaribio la kwanza mechi 15 nilikosa moja.... jaribio la pili mechi 24 nkakosa 3... na jana jaribio la tatu mechi 28 nimekosa tena 3.... UKIANGALIA VIZURI KUNA UWEZEKANO MKUBWA SANA HAPA KWENYE KUZUIA MAGOLI YASIVUKE MATATU KWENYE MECHI.... ILA POINT ZAKE NDIO KAMA HIZO ...NI NDOGO ILA UHAKIKA.....

nakalibisha mjadala ADUI YETU NI MMOJA....
 
Mtoto wa nzi
Mimi naona huu ni bora kuliko kumpa mtu win. Hapo unakuwa umeshikiria tu angalau afunge 2-1, 2-0
 
Last edited by a moderator:
View attachment 256115

NB: HUU UTABIRI WA KUZUIA MAGOLI YASIVUKE MATATU.... NATUMIAGA MTANDAO WA Soccer football predictions, statistics, bet tips, results ambapo wanatabiri kwa asilimia ya uwezekano wa magoli... wanatabiri magoli yatakuwa 1.5 , 2.5 au 3.5 kwa kila mechi kila siku ambacho nafanyaga mimi ni kuangalia asilimia ya kufika magoli 3.5 ( yaani magoli ma4) hapa nachagua mechi ambazo zina asilimia 25... kushuka chini....... na haka kautafiti mpaka sasa katika jaribio la kwanza mechi 15 nilikosa moja.... jaribio la pili mechi 24 nkakosa 3... na jana jaribio la tatu mechi 28 nimekosa tena 3.... UKIANGALIA VIZURI KUNA UWEZEKANO MKUBWA SANA HAPA KWENYE KUZUIA MAGOLI YASIVUKE MATATU KWENYE MECHI.... ILA POINT ZAKE NDIO KAMA HIZO ...NI NDOGO ILA UHAKIKA.....

nakalibisha mjadala ADUI YETU NI MMOJA....

hiyo iko poa sana ila ni nzuri ukiicheza mwanzo au katikat mwa ligi,, huku mwishoni tim zinajiachia sana zinaruhusu magoli kizembe
 
mtandao unasumbua meridian ila kati ya hawa ntaweka na asilimia zao za kufikia goli nne

HERAS EL HOODOD (10)
ZAMALEK (10)
ARSENAL SERANDI (23)
LEVADIA TALLIN (20)
CENTRAL CARDOBA (15)
GUILLERMO BROWN (15)
ATLANTIS (20)
HONKA (25)
VASTERAS (20)
KRISTIASTADS (20)
LANDSKRONA BOIS (25)
ALANYASPOR (25)
MOGI MIRIM (15)
BRAGANTINO (10)
PAYSANDU (25)
CRICIUMA (25)

TUJARIBU TENA ....TIMU 16.....
 
Zina uhakika sana,kaka?
 
View attachment 256115

NB: HUU UTABIRI WA KUZUIA MAGOLI YASIVUKE MATATU.... NATUMIAGA MTANDAO WA Soccer football predictions, statistics, bet tips, results ambapo wanatabiri kwa asilimia ya uwezekano wa magoli... wanatabiri magoli yatakuwa 1.5 , 2.5 au 3.5 kwa kila mechi kila siku ambacho nafanyaga mimi ni kuangalia asilimia ya kufika magoli 3.5 ( yaani magoli ma4) hapa nachagua mechi ambazo zina asilimia 25... kushuka chini....... na haka kautafiti mpaka sasa katika jaribio la kwanza mechi 15 nilikosa moja.... jaribio la pili mechi 24 nkakosa 3... na jana jaribio la tatu mechi 28 nimekosa tena 3.... UKIANGALIA VIZURI KUNA UWEZEKANO MKUBWA SANA HAPA KWENYE KUZUIA MAGOLI YASIVUKE MATATU KWENYE MECHI.... ILA POINT ZAKE NDIO KAMA HIZO ...NI NDOGO ILA UHAKIKA.....

nakalibisha mjadala ADUI YETU NI MMOJA....

nadhani hiyo ikp poa. mi napendelea zaidi 2+ huwa sikosi.
 
Mimi Jana kimasomaso ila sorry sikuutupiaga humu kwasababu zilizo nje ya uwezo wangu
 
Attachments

  • 1433157722230.jpg
    1433157722230.jpg
    61.9 KB · Views: 238
1. China - Super League
Beijing Guoan vs Shanghai Shenxin FC
(Home To win)
14:35
Odds 1.10

2. Germany - Bundesliga Play Off
Karlsruher SC Hamburger SV
(Home/Away To win) double chance
20:00
Odds: 1.33

3. Israel - Division 1
Maccabi Tel Aviv vs Maccabi Petah Tikva
( Home To win & over 2.5)
20:55
Odds 1.81
4. Egypt - Premier League
Smouha SC vs Haras El Hodood
(Under 3.5)
17:30
Odds: 1.04

Total odds:2.7 kwa Meridian Bet
 
mtandao unasumbua meridian ila kati ya hawa ntaweka na asilimia zao za kufikia goli nne

HERAS EL HOODOD (10)
ZAMALEK (10)
ARSENAL SERANDI (23)
LEVADIA TALLIN (20)
CENTRAL CARDOBA (15)
GUILLERMO BROWN (15)
ATLANTIS (20)
HONKA (25)
VASTERAS (20)
KRISTIASTADS (20)
LANDSKRONA BOIS (25)
ALANYASPOR (25)
MOGI MIRIM (15)
BRAGANTINO (10)
PAYSANDU (25)
CRICIUMA (25)

TUJARIBU TENA ....TIMU 16.....

Hii yote ilikuwa 2+
 
Jamani wazee wa kubet naomba msaada nimetoa hela kwenye account ya meridian kwenda namba yangu ya m-pesa,lakini hadi sasa haijaingia na nisiku ya tatu leo.nifanyaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom