Azul
JF-Expert Member
- Sep 10, 2021
- 636
- 1,306
Amechana NICE, HAKUTOA GG.
Amechana NICE, HAKUTOA GG.
Tottenham winnaombeni odd 8 wakuu nataka niweke stake kubwa maana mimi nimezitafuta hata sizioni
Acha uongo wewe pipa angalia mkeka wangu apo juu Nice full time 0-0
Niliweka double chance ya 12Afadhali wewe ulimuondoa Liver kwenye mkeka wako mkuu
Na vilio vitakuwa vya kutoshaHaya ni Jumamosi nyingine, odds za kutoshaaa
NimekuelewaTottenham win
Girona win
Arsenal win &over 1.5
Psg ft over 2.5
Ahsante sanaa mkuuTottenham win
Girona win
Arsenal win &over 1.5
Psg ft over 2.5
Kuweni makini na PSG wakuuTottenham win
Girona win
Arsenal win &over 1.5
Psg ft over 2.5
Kwamba uliona uweke onga mchuzi mixGame zangu8 za 🏀 zimekuwa spoiled na game 1 ya ⚽! Shabash!.... Ni bahati tu.. Hela ilikua kwenye 🏀
Magol 3 uhakikaKuweni makini na PSG wakuu
Ngoja tuone manake kanji katupiga tangu j4 mpaka janaNa vilio vitakuwa vya kutosha
Kwani wote huwa tunaliwa?Ni siku nyingine teinaa (on Dj Mark voice)
wakuu leo natabiri tutakula
Wapi nimeandika neno wote?Kwani wote huwa tunaliwa?
Easy win for citysiku ya sadaka kwa kanji muwe makini na epl
totty
mancity
italy juv .....
huyo jamaa yuko vizuri. hapo zimechana mechi 2 tu za Nice na Verona.