juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,449
Maisha haya,kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa? Lini sisi wananchi tulilalamika kwamba wamachinga wanatubughuzi? Maisha hayapo fair kabisa
Wao kunakitu waliki-focus....kimetimia sasa wanaweza kuendeleza game!!hivi mtukufu raisi si alisema wamachinga wasibugudhiwe???
halafu tuliwaambia mapema sana kuhusiana na hili , sasa mzee wa kuropoka alipoona UKUTA unamjia kwa kasi ndio akaleta uzushi huu.Wakati wa uchaguzi au kipindi cha kukaribia uchaguzi kauli kama hizi huwezi kuzisikia.
Huyu hata akipiga kampeni kwa kutumia mapepo na majini , hayo majimbo unayompeleka unamchuuza vibaya sana ! Kwanini asigombee kwao kondoa ?Huyu makonda itakuwa burdani ktk roho za wazalendo wanademokrasia ktk jiji la Dar, kama atatupia karata yake mwaka wa 2020, au kibamba, au kawe....!
mkuu usiende na chochote cha thamani mfukoni au mwiliniNasikia mtaa wa Congo hakufai, sijaendaga kitambo pale ngoja weekend hii niende nikajionee kwa macho tena sikuhizi kuna Mwendokasi kuanzia Moroco nitaupanda huo.
Mwenyekiti CCM JF
Huyu hata akipiga kampeni kwa kutumia mapepo na majini , hayo majimbo unayompeleka unamchuuza vibaya sana ! Kwanini asigombee kwao kondoa ?
Kweli nami nikiri wamachinga ni kero ktkt ya jiji...lkn je wakiwatoa hapo watawapeleka wapi?! Maana Dsm hakuna mipango miji hamna sehemu iliyoandaliwa kwa ajili yao ili kuweza kupata suluhisho la moja kwa moja.Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo ametoa siku 14 kwa Wakuu wa Wilaya za Jiji hili kuhakikisha machinga wote wanafanyia biashara katika maeneo waliyopangiwa.
“Kauli ya Rais aliyoitoa kwamba machinga wasibugudhiwi isitumike vibaya kwani hata wao hawapaswi kuwabugudhi wananchi wengine kwa kufanya biashara zao mbele ya maduka na barabarani,”amesema Makonda.
Ameongeza kuwa anatambua kuwa machinga wanajitafutia riziki lakini hawapaswi kuvunja sheria kwa kufanya biashara hata katika maeneo yasiyokuwa rasmi.
“Barabara zimejengwa kwa gharama kubwa hivyo haziwezi kubadilishiwa matumizi na kuwa sehemu ya machinga kupanga na kuuzia bidhaa zao” amesema.
Chanzo: Fahari News
Ndani ya ccm hivi ni vitu vya kawaida sana , muulize chenge .hahaaaaaaaaaaaaaaaa mkuu hio mpya.kampeni kwa kutumia mapepo na majini hahaaaaaaaaaaaaaaaaa