Makonda: Wakuu wa Wilaya waondoeni Machinga ndani ya siku 14

Kwa kweli hawa si wafanyabiashara wengi wao ni Vibaka na wapo pia wanaotumiwa na wafanyabiashara kuwauzia bidhaa zao na kuikosesha serikali kodi, ndiyo maana hawataki kuhama.
 
Debe tupu limeibuka tena; kabla ya Novemba 15 hili suala litakuwa limeshasahaulika.
Kama wamachinga wanavunja sheria, itajwe hiyo sheria na kisha polisi wafanye kazi yao, wakuu wa wilaya inawahusu nini wakati masuala hayo ni majukumu ya mameya?

Yaani nimecheka kwa sauti kubwa sana
Debe tupu limeibuka tena

hakika umepatia lile ni debe tupu
 
Waondolewe kabisa wasionekane tena mtaani ili nao waisome namba vizuri
 
Kiukweli Machinga wanasumbua sana huo ndio ukweli
Tukiweka siasa kando wanatakiwa wapelekwe sehemu zingine ili hata kodi waweze lipa
 
Kwa hali ilivyofikia kariakoo na kwingineko nampa mheshimiwa full support ila wasiwavamie wawahi asubuhi na kutoa yale mameza yanayozuia barabara na kuyatupa kwani ndio vyanzo vya uchafu!! Pia maeneo ambayo yanaonekana yanaweza kuwa na public intrest yachukuliwe na kujengwa vizuri hawa wamachinga wakae ila kwa kulipia tozo mbalimbali
 
Back
Top Bottom