Makonda: Wakuu wa Wilaya waondoeni Machinga ndani ya siku 14

Maeneo gani hayo yatakayokuwa tayari kwa siku 14 na ya katikati ya jiji rais alisema kila MTU ana haki kuwa katikati ya jiji
 
Nchi ni yetu sote...tusitengeneze matabaka na hao machinga wanatafuta riziki kama watanzania wengine ..msiwabuguthi hao watu... Mimi niliwateua kuwaudumia wananchi nasio kuwafukuza machinga
Neno la mkuu wa familia...
 
ile dhana ya kilimo kwanza kwishne .sasa tusubiri mafuriko ya rural to urbun .how many peoples will do business in mtaa wa kongo kariakoo? .wachina wamefurahi sana na wafanya biashara wazawa wamenuna sana .atokee kiongozi mmoja ajibu au afisa wetu mmoja wa Tra aeleze ni tafauti ya neno "kuuza baina ya mwenye duka na mmachinga .kuuza ni kuuza tu .wengine walipe kodi kwa kuuza na wengine wasilipe kwa kuuza!!!!.mimi nadhani waliokua wanatakiwa kuja kuulizwa kero ni wafanya biashara na sio wamachinga kwa aababu raisi alishatoa tamko wiki 2zilizopita kwamba wasibugudhiwe
 
movie za kihindi, wanatengeneza breaking news ya wiki lijalo toka ikulu..

"Rais apiga marufuku machinga kunyanyaswa, awaonya wakuu wa wilaya kuto rudia tena "

nchi lazima ishangilie.
 
Sasa ndo wakat wa raia kuanza kuyaona. Maana naona kaul ya rais inaachwa cjui rais ndo kawaambia, au wanafanya ivyo afu baadaye mweshimiwa atoke awakemee
 
Back
Top Bottom