Nilicho gundua ni kwamba kumbe hata tunaojiita GREAT THINKERS,hakuna kitu
Hatusomi tuka elewa,kama ni hivi kwetu je wale walio vijijini wasio elewa a wala b ya hio sheria itakuwaje?
4) Bila ya Kujali kifungu kidogo cha (3) , mtuhatakuwa na sifa za kuteuliwa kuwa mjumbe waTume endapo mtu huyo;
a)Ni mbunge , mjumbe wa Baraza lawawakilishi la Zanzibar, Diwani auKiongozi wa chama cha siasa wa ngazi yaTaifa , Mkoa au Wilaya;
b)Ni mtumishi katika vyombo vya usalama;
c)Ni mtu aliyewahi kuhukumiwa kwa kutendakosa au ni mtuhumiwa katika shauri lililopomahakamani. linalohusu shitaka la kukosauaminifu au maadili;au
d)Si raia wa Tanzania
kila mtu kakurupuka kutaja lake,pasi hata kujiridhisha nani anatakiwa kuwemo ktk tume na nani hata kiwi,mwisho wa siku tutakuja walaumu viongozi wa CDM kuwa hawaja watendea haki kina Lisu na wenzake.
Hata kama kuna kurasa nyingi ni vema tukasoma mwanzo mwisho na tukaelewa,ili kuepuka kuweka kisichotakiwa
4) Bila ya Kujali kifungu kidogo cha (3) , mtuhatakuwa na sifa za kuteuliwa kuwa mjumbe waTume endapo mtu huyo; a)Ni mbunge , mjumbe wa Baraza lawawakilishi la Zanzibar, Diwani auKiongozi wa chama cha siasa wa ngazi yaTaifa , Mkoa au Wilaya; b)Ni mtumishi katika vyombo vya usalama; c)Ni mtu aliyewahi kuhukumiwa kwa kutendakosa au ni mtuhumiwa katika shauri lililopomahakamani. linalohusu shitaka la kukosauaminifu au maadili;au d)Si raia wa Tanzania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.