Majina matatu tume ya kurekebisha katiba toka CHADEMA, nani awemo?

Wana CDM ungependa majina yapi kutoka chama cha CHADEMA waingie kwenye mchakato wa kurekebisha katiba.
Mi ningeanza na
1:J.Mnyika
2:T.Lisu na
3:V.nyerere
Nimegundua humu ndani kuna majuha wengi sana,wote waliopendekeza majina ya wabunge wanafikiria kwa masaburi,isomen sheria kwanza mjue inataka nn.
 
1. Mr. Mnyika (ambaye ameimeza katiba ya sasa)
2. Dr. Slaa (hana tabia ya kumumunyamumunya maneno - anasema)
3.................................
 
Isomeni basi sheria yenyewe basi kuna watu ambao kutokana na nafasi zao za sasa hawaruhusiwi kuwa wajumbe wa hiyo tume.

MM, Kama unayo wewe au yeyote ilivyo sasa baada ya marekebisho tunaomba mtuwekee hapa tuipate. Wengine tuko pembezoni.
 
Lissu, Mnyika na Mchungaji. Nashauri Dr Slaa asiwepo k'sababu atabanwa asifanye kazi za Chama kikamilifu ila yeye na Mwenyekiti watatumika kwenye kamati zao za ndani ya chama na wajumbe husika kwa mambo ya msingi, pia njia ya mtandao hutumike kuwasilia na wadau kwa mawazo waandae dodoso! peoples power :hat:
 
Back
Top Bottom