Mkuu una mawazo kama yangu kabisaa. Nashanga Mabere Marando watu wamekuwa wakimsahau katika masuala haya ambayo kimsingi ni ya kisheria.Tundu lisu, Mabere Marando, Prof. Abdalla Safari.
Wana CDM ungependa majina yapi kutoka chama cha CHADEMA waingie kwenye mchakato wa kurekebisha katiba.
Mi ningeanza na
1:J.Mnyika
2:T.Lisu na
3:V.nyerere
John Shibuda
TUNTEMEKE akisika jina la Mnyika roho inapitwa-pitwa sana, karibu itoke, kaka andaa waraka mwingine wa kupondea Mnyika1.Lissu 2.Arfi 3.Mnyika