Lina Sanga na Wema Sepetu kwenye mtafaruku kisa mwanaume

Nimesoma vizur na nilimsikiliza vizur, je angetembea nae kipindi hawajaachana si angejiua? Huyo Nagar kaachana nae leo? Sipo team yoyote ila kwa hili Linah kachemka mbona yeye alitembea na bwana wa shoga yake na mwenzie amecool tu. Mimi nisingeumia chochote mtu nishaachana nae niumie nini sasa? Ingekua Lina ana urafiki na wema hapo tungemlaumu mama ubaya.

Mtaje huyo rafiki yake, ama la tuamini unataka kufurahisha baraza
 
Jamani ningekua na picha ningetupia.
Wema alilala kwa nagar mpaka asubuh

Hii nimekutana nayo hukooo

attachment.php
 

Attachments

  • 1433425398450.jpg
    1433425398450.jpg
    22.1 KB · Views: 1,523
Duu Tanzania kuna maajabu sana yani jamaa kitendo cha kuruka ukuta na kwenda kumkumbati KAKA akapata umaarufu na kujipatia demu Aiseee...hadi sasa wanagombana....Teh Teh..
 

Attachments

  • 1433427122709.jpg
    1433427122709.jpg
    20.8 KB · Views: 767

Similar Discussions

Back
Top Bottom