Wema Sepetu na Whozu mahaba ndindindi

Nakadori

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
8,781
20,952
Msanii wa bongo movie Wema Sepetu na msanii wa bongo flava Whozu wako kwenye mahaba mazito kwa muda sasa.

Hii video hapa chini inawaonesha wawili hao wakisherehekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Wema kwa mabusu motomoto na inasemekana Whozu alimfanyia ex madame surprise ya maua na keki.

Kweli wakati ukuta. Aliyezoea kupewa surprise za BMW, raaaaaaange na Murano siku za birthday yake sasa anapewa surprise za maua na keki.
 
Back
Top Bottom