Huyu kistuli lina nae akwendree huko. Nimeibiwa bwana bwana atakuwa kombo chefuuu
Hapo sasa,Nagari mwenyewe ngachooka,mi sina imani kama wema anaeza date na kombo,wenge tu la kistuli.
Huyu kistuli lina nae akwendree huko. Nimeibiwa bwana bwana atakuwa kombo chefuuu
Hapo sasa,Nagari mwenyewe ngachooka,mi sina imani kama wema anaeza date na kombo,wenge tu la kistuli.
Amechoka umebaki weupe tu.
Binamu yangu katika ubora wake
Jamani ningekua na picha ningetupia.
Wema alilala kwa nagar mpaka asubuh
Jamani ningekua na picha ningetupia.
Wema alilala kwa nagar mpaka asubuh
Nimesoma vizur na nilimsikiliza vizur, je angetembea nae kipindi hawajaachana si angejiua? Huyo Nagar kaachana nae leo? Sipo team yoyote ila kwa hili Linah kachemka mbona yeye alitembea na bwana wa shoga yake na mwenzie amecool tu. Mimi nisingeumia chochote mtu nishaachana nae niumie nini sasa? Ingekua Lina ana urafiki na wema hapo tungemlaumu mama ubaya.
Anaumiaje wakati alishaachana naye.
Jamani ningekua na picha ningetupia.
Wema alilala kwa nagar mpaka asubuh
Hapo sasa,Nagari mwenyewe ngachooka,mi sina imani kama wema anaeza date na kombo,wenge tu la kistuli.
Mimi wanaonishangaza zaidi ni washabiki wake Wema hivi wanakuwaga ni wazima wa akili?
Hii nimekutana nayo hukooo