Kimemuuma sababu akikua rafiki wa karibu na huyo bwana wakati anatoka nae
Yaani kama mtu na wake na yeye rafiki wao ikawa...kumbe W anasarandia kudumbukia, so walipokwaruzana kama kawaida inaonekana yeye akachukua mwanya anajua yeye aliongea nini huko kuchangia bwana asiendeleee na wake Linah. Ndio maana imemuuma Linah ni kama pia Linah hakuongea yoteeeeeee
Haya na mie nimeyasoma hayoooo
Aagh natumaini mwanaume nar anapenda kuandikwa kuzungumziwa basi ataendelea kwa raha zake maana wamesha.do
Wengine tulikua hata hatumjui yaani... Hapa ndio tushamfahamu.. Alimlia timing Wema nae mbaya in joti's voice lol
mbayaaa balaaaaaa hakutaka kuchelewaaaaaa
Ah, watu wamepiga sana. Katika orodha Amini ndo anajulikana sana. Hata huko Domo anajulikana sana lakini kuna Late K, Charles Baba, Clement n.k
Mbona nasikia amini ndio alikua anamdunda sana Lina?
By the way, warumi, unajua Deal za shemeji yako mupya?
Wasanii wa Bongo kazi wanayo daily Ku share dudus. Sasa mmoja akiwa mgonjwa sijui inakuaje.
Asante mwaya nimeifuatilia na kuisoma.Kumbe ni yule mshiriki wa BBA? Nilishamsahau kabisa.
Haya bwana yetu macho.
Huyo kifupi nyundo anatafuta kiki tu... Na nasikia ana mimba atulie tu asije jifungua kabla ya siku
Pale ishu ilikua BFF ... Kajala and Wema as best Friend bhasiiiii
Wanavaaga condomsAh, watu wamepiga sana. Katika orodha Amini ndo anajulikana sana. Hata huko Domo anajulikana sana lakini kuna Late K, Charles Baba, Clement n.k
Huwenda alikuwa anampiga.....lakin jamaa alikuwa anampenda sana bi mdashi.Kaona tako litampa bwana wa maana
Wewe ungevumilia kipigo?
Lina siku izi kawa mwarabu....
Duuuh hata wewe unamtetea huyo bibie
Unashangaa nini? Wauza nyama kazini, lazima wateteane.