Lina Sanga na Wema Sepetu kwenye mtafaruku kisa mwanaume

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,876
7,366
Unamkumbuka yule jamaa wakati timu ya taifa ya Brazil imekuja Tanzania kucheza na Taifa Stars aliingia katikati ya uwanja na kumkumbatia mchezaji KAKA wakati mechi ikiendelea?

Yule ndo boyfriend wa msanii wa music Linah Sanga. Jana kupitia kipindi cha Ala za roho cha Clouds FM, msanii Lina Sanga alifunguka na kumlalamikia msanii Wema Sepetu kwa kutoka na jamaa yake wakati akijua kabisa alikuwa ni boyfriend kabla hakujatokea mtafaruku baina yao. Lina anasema ameshtuka na kuumia kusikia Wema anatoka na jamaa.

Lina, "Unajua wakati tuna mahusiano na jamaa mimi nilikuwa nawachukulia kama watu wanaofahamiana na ni marafiki wa kawaida tu hata wakiwa wametoka out, lakini baada ya mimi na jamaa kutokea kutoelewana na ni kitu cha kawaida kwenye mahusiano yoyote na nimedumu na jamaa kwenye uhusiano kwa miaka 4, sasa nimeshtuka na kuumia nisidanganye, kusikia jamaa anatoka na Wema, hata hivyo nawatakia kila la kheri kwenye uhusiano wao''.

Hata hivo Lina aligoma kuthibitisha kama ana ujauzito wa jamaa au hana.

Wema Sepetu nae ameahidi kuja kutoa lake la moyoni
 
Kwa hiyo anatoka huyu wa Linah na Luis pia na huyo pia na nani tena?

Mmmh
 
Hawa wasanii wa bongo ni zero brain kumbe wamesha achana,ngoja wengine wapige blowjob huh
 
kumekuchaa timu wema watahamia kwa lina

Nilidhani ni picha tu kati ya Nagari Kombo na Wema,kumbe kuna something going on!!!!sitaki kuamini hili,Wema hawezi banah kua na Nagari sema Linah tu ana mawenge yake yule dada.
 
Huyu nae anatafuta kick na ataipata, mtu mmeachana sa unaumia nn?? Watu wafupi wana matatizo jaman khaaa!!!
 
Anaumiaje wakati alishaachana naye.

Huyu nae anatafuta kick na ataipata, mtu mmeachana sa unaumia nn?? Watu wafupi wana matatizo jaman khaaa!!!

Mngejaribu kusoma vizuri kwanza.
Linah kasema kua huyo jamaa yake alikua na urafiki na wema tokea walivyokua kwenye mahusiano.Ndio maana hakuwatilia shaka hata walipokua wanatoka out pamoja (wema & kombo) kwani alidhani ni marafiki wa kawaida tu.
Ila baada ya kukosana kwao hadi wakaachana sasa jamaa anatoka na wema.
Hata kama ningekua mimi lazima ningeumia maana hawa lazima walikua wapenzi hata kabla jamaa hajaachana na linah.
 
Nimesoma vizur na nilimsikiliza vizur, je angetembea nae kipindi hawajaachana si angejiua? Huyo Nagar kaachana nae leo? Sipo team yoyote ila kwa hili Linah kachemka mbona yeye alitembea na bwana wa shoga yake na mwenzie amecool tu. Mimi nisingeumia chochote mtu nishaachana nae niumie nini sasa? Ingekua Lina ana urafiki na wema hapo tungemlaumu mama ubaya.
 
Kumbe ulimsikiliza pia? Mie niliongelea kuhusu kusoma hili bandiko hapa.

Hata hivyo hilo halimnyimi haki ya kutokuumia. Ujue mapenzi haya mtu anaweza kuhangaika ila moyo wake ukawa kwa mmoja tu.
Kwa maana hiyo basi, huenda Linah moyo wake umemuangukia huyo jamaa ndio maana anaumia maana alidhani watarudiana ila mwenzie kesha move on na wema.
 
🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶😷😷😷😷👊
 
Huyu Wema naona kama kalunduka..wiki cha he nyuma aliutangazia umma kwamba kaolewa kwa siri,majuzi tena nasikia katangaza basha mpya mshiriki wa Big Brother leo tena mnakuja na hili la kutembea na bwana wa Linah.
 
Lina ana kimavi(gundu),aliachika na amin sasa kaoa,saiv kaachwa tena na jamaa ake atamuoa wema.
 
mie ningekua huyo mdada wala hata kuongelea nisingeongea,tokalini Wema akadumu na mwanamme? ampe mda akamue akimaliza utasikia kahamia kwengine.
 
Kumbe ulimsikiliza pia? Mie niliongelea kuhusu kusoma hili bandiko hapa.

Hata hivyo hilo halimnyimi haki ya kutokuumia. Ujue mapenzi haya mtu anaweza kuhangaika ila moyo wake ukawa kwa mmoja tu.
Kwa maana hiyo basi, huenda Linah moyo wake umemuangukia huyo jamaa ndio maana anaumia maana alidhani watarudiana ila mwenzie kesha move on na wema.

Sasa kama kaumia ndo anatapatapa ivyo!!! Kosa sio la Wema yeye angemlaumu Nagar, ingawa kama siamin siamin ivi kama kwel nagar anatoka na mama ubaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom