Lina Sanga na Wema Sepetu kwenye mtafaruku kisa mwanaume

Bongo malaya watupu. Hata wakitembea na mbwa shida iko kwa nani. Wema naye si malaya tu mbovu?
 
Unamkumbuka yule jamaa wakati timu ya taifa ya Brazil imekuja Tanzania kucheza na Taifa Stars aliingia katikati ya uwanja na kumkumbatia mchezaji KAKA wakati mechi ikiendelea?

Yule ndo boyfriend wa msanii wa music Linah Sanga. Jana kupitia kipindi cha Ala za roho cha Clouds FM, msanii Lina Sanga alifunguka na kumlalamikia msanii Wema Sepetu kwa kutoka na jamaa yake wakati akijua kabisa alikuwa ni boyfriend kabla hakujatokea mtafaruku baina yao. Lina anasema ameshtuka na kuumia kusikia Wema anatoka na jamaa.

Lina, "Unajua wakati tuna mahusiano na jamaa mimi nilikuwa nawachukulia kama watu wanaofahamiana na ni marafiki wa kawaida tu hata wakiwa wametoka out, lakini baada ya mimi na jamaa kutokea kutoelewana na ni kitu cha kawaida kwenye mahusiano yoyote na nimedumu na jamaa kwenye uhusiano kwa miaka 4, sasa nimeshtuka na kuumia nisidanganye, kusikia jamaa anatoka na Wema, hata hivyo nawatakia kila la kheri kwenye uhusiano wao''.

Hata hivo Lina aligoma kuthibitisha kama ana ujauzito wa jamaa au hana.

Wema Sepetu nae ameahidi kuja kutoa lake la moyoni

wema_na_mume_wa_linah.JPG wema_na_mume_wa_linah.JPG
 
Toka insta
 

Attachments

  • 1433439694002.jpg
    1433439694002.jpg
    24.5 KB · Views: 800
  • 1433439713254.jpg
    1433439713254.jpg
    30.5 KB · Views: 776
Kuna jamaa yangu mmoja aliwahi kuniambia kuwa alishamtafuna huyu Wema kwa US$ 150 kama miaka pirate iliyopita nikabisha sana ...sasa naanza kuona ukweli.Ukipenda maisha ya kifahari bila ya kazi lazima utaishia kugawa nyapu kwa wazinzi
 
Huyu dogo Wema kapigwa sana mshedede enzi hizo akiwa anasoma Malaysia...

Halafu alikuwa kamuacha bongo Kanumba kama mpenzi wake wakati raia kule Malaysia walikuwa wanajimegea tu...

Kuna jamaa yangu mmoja aliwahi kuniambia kuwa alishamtafuna huyu Wema kwa US$ 150 kama miaka pirate iliyopita nikabisha sana ...sasa naanza kuona ukweli.Ukipenda maisha ya kifahari bila ya kazi lazima utaishia kugawa nyapu kwa wazinzi
 
Mngejaribu kusoma vizuri kwanza.
Linah kasema kua huyo jamaa yake alikua na urafiki na wema tokea walivyokua kwenye mahusiano.Ndio maana hakuwatilia shaka hata walipokua wanatoka out pamoja (wema & kombo) kwani alidhani ni marafiki wa kawaida tu.
Ila baada ya kukosana kwao hadi wakaachana sasa jamaa anatoka na wema.
Hata kama ningekua mimi lazima ningeumia maana hawa lazima walikua wapenzi hata kabla jamaa hajaachana na linah.

Akapime na ngoma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom