Kwani lazima kuoana?

Hata Mtume Paulo amesema si lazima, bado tunaweza sana kuishi kama yeye alivyoishi
 
Hata Mtume Paulo amesema si lazima, bado tunaweza sana kuishi kama yeye alivyoishi
Good, sasa kama hatutaki kuingia kwenye ndoa nini mbadala wake ram?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa nimeipenda bure hii

Kweli mkuu..
Cuz she told me she is going crazy over me!
Na sio hivyo tu..she is dying over me too..
Hivyo inabidi nimuoe tu sababu anaweza kufa kwa ajili yangu!
 
Kweli mkuu..
Cuz she told me she is going crazy over me!
Na sio hivyo tu..she is dying over me too..
Hivyo inabidi nimuoe tu sababu anaweza kufa kwa ajili yangu!
Khaaaa hivyo tu!!!!! Muongo mkubwa sana huyo...........anatafuta kitu kingine kabisa
 
"Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja". Mwanzo 2:24.

Hii ni kiimani zaidi,
 
"Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja". Mwanzo 2:24.

Hii ni kiimani zaidi,
Na hayo hayo maandiko hayatwambii hata sehemu moja kwamba Yesu alioa.......ingawa alihudhuria harusi
 
ili tuzaliane kwa utaratibu tuiongeze dunia na kutokuzini kutengua amri ya 6, inabidi tufanye hivyo, sababu ni nyingi ila wakati ukuta ntarudi
 
Ila umesema wewe ni mwanaume sijui kama unaweza kukuaa bila kudo, ingawa mtume Paulo aliweza
 
Ila umesema wewe ni mwanaume sijui kama unaweza kukuaa bila kudo, ingawa mtume Paulo aliweza
ram mtume Paulo hakuweza kwasababu kama unakumbuka historia yake kabla ya utume alikuwa muuaji wa kutupwa na mambo yooote machafu so before hajawa mtume ali do
 
Last edited by a moderator:
ili tuzaliane kwa utaratibu tuiongeze dunia na kutokuzini kutengua amri ya 6, inabidi tufanye hivyo, sababu ni nyingi ila wakati ukuta ntarudi
Nimeipenda hii tunaamua kuoana (kiimani) ili kuepuka dhambi inaitwa "uasherati" maana uzinzi ni yule aliyeko kwenye ndoa kisha akaamua kutoka nje na sio ambaye hajaingia kabisa
 
Lakini baada ya kuokoka hakudo tena hadi anakufa, so aliweza hata kama mwanzo alifanya lakini kwa miaka mingine kadhaa hakudo
 
Na hayo hayo maandiko hayatwambii hata sehemu moja kwamba Yesu alioa.......ingawa alihudhuria harusi

Ndio maana nimesema hii imekaa kiimani zaidi....hapo umejiuliza tu, na yapo mambo meeeengi ambayo tunaweza kujiuliza...lakini hayo ndio maandiko matakatifu anayeamini na asiyeamini kazi kwake!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom