kuoana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rio Shabazz

    Mlikaa muda gani baada ya kuoana kabla ya kupata mtoto?

    Wakuu nina miezi miwili bila bila niko kwa ndoa. Niko na mashaka.
  2. tpaul

    Mchungaji awashauri wachumba kutest mitambo kabla ya kuoana; adai yeye alitest ya kwake

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ambayo ni kinyume na mafundisho ya kidini (kiislamu na kikristo), mchungaji mmoja wa kike amewashauri wachumba kutestiana mitambo kabla ya kuingia kwenye ndoa. Mshauri huyo wa ndoa alitokea kutoa mwanga zaidi kuhusu ni kwa nini kutalikiana kumekuwa jambo la...
  3. BARD AI

    Maswali muhimu ya kumuuliza Mpenzi wako kabla hamjafikia hatua ya kuoana

    Kabla ya Kuoa au Kuolewa, Wataalamu wa Uhusiano wanashauri Wenza wajadili na kukubalianana kuhusu hali, tabia, matarajio na mambo mengine muhimu ikiwemo. Ulipaji Bili zetu utakuwaje? Mtindo wa Malezi ya Watoto utakuwaje? Una madeni yoyote na yanalipwaje? Afya ya Akili yako ikoje? (wote mpime...
  4. Baba Uzia

    Nahitaji kujua ni lazima kuoana hadi mthibitishwe kidini ndo iwe ni ndoa halali?

    Ukisoma katika biblia Mwanzo 2:24 haijalazimisha kuwa ili unganiko lenu liwe halali ni lazima ndoa ifanyike kanisani (kwa Wakristo). Kufunga ndoa kidini ni UTARATIBU WA KIBINADAMU ULIOPANGWA AU NI UTARATIBU WA "LAZIMA" WA MUNGU?
  5. W

    Hivi ni nini hekima iliyopo nyuma ya ruhusa ya kuoana ndugu?

    Binamu wanaoana..... Watoto wa baba mkubwa na mdogo wanaoana. Zanzibar limetamalaki sana hili. Yote hayo mimi yamenishinda; yaani nikamuoe mtoto wa baba mkubwa/mdogo? Damu yangu? Nimeshindwa, nashukuru imani haijasema kwamba hilo ni lazima. Ningefukuzwa. Hivi hekima haswa iliyojificha nyuma...
  6. A

    Natafuta mwanamke wa kuoa, tukielewana taratibu za kuoana zitafuata

    Naitwa Jumanne Nina umri wa miaka 29 Mkazi wa Ifakara morogoro, Kwa Sasa napatikana Mwanza kikazi. Ni mrefu kiasi. Mweusi kiasi. Sio mnene. Nahitaji Mwanamke aliye tayar Kwa ajili ya kuanzisha familia. Umri kuanzia miaka 18-27. Awe mweusi kiasi. Mnene kiasi. Dini yoyote. Kabila lolote. Aliye...
  7. NetMaster

    LIVE-IN RELATIONSHIPS: Wakristo wanaongoza kwa mahusano ya kuishi pamoja kwa muda mrefu kabla ya kuoana au kuishi bila ndoa rasmi, nini chanzo?

    Live-in relation ship ni mahusiano ya uchumba wa muda mrefu sana bila ndoa rasmi, na ni zaidi ya uchumba, maana watu huishi maisha utadhani ya mume na mke. Mfano nina rafiki yangu, huyu ni rafiki yangu hataki kuoa na huu ni mwaka wa 10 yupo anaishi na bibie ndani ya nyumba yake na wana watoto...
  8. jitulawatu

    Penzi linaporomoka wakati tunakaribia kuoana

    Jaman mimi ni mwanaume niko na kamchumba kangu tulikuwa tunaongea na simu mpaka saa nane za usiku[emoji23][emoji23], ila gafla baada ya kuamua kuoana naanza kuona ninapunguza upendo kwake tena bila hata sababu ya msingi masikini ya Mungu. Ila najikuta namtafutia visababu yaani vikasoro kasoro...
  9. JITU LA MIRABA MINNE

    Je, kuoana kabila moja hupelekea ndoa kudumu?

    Eti wakuu hii imekaaje? Ni kweli ndoa za sasa huvunjika kwa sababu ya kuoana makabila tofauti? Nawakilisha tu
  10. Frumence M Kyauke

    Je ni sahihi kufanya mapenzi na mwenza kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa?

    Katika mahusiano kumekuwa na tabia ya kufanya mapenzi kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa na hii inahusisha jinsia zote mbili. Mwanaume wakati mwingine anajaribu kujiridhisha kama mwanamke anaendana na vigezo vyake hali kadhalika kwa wanawake pia. Vijana wengi wamekuwa wakitumia...
  11. chizcom

    Mahari ndio chanzo watu kashindwa kuoana

    kiukweli ili jamo kwa utanda wazi linaleta mambo magumu. mahali za kimila na pande mbili kutaka kujuana ndio chimbuko la matatizo. unakuta wazazi ni watanzania na mtoto ni china. ila kwa akili zetu zilivo jinga wazazi wanataka kwenda china kutoa mahali. vijana wengi kizazi hiki tuanze nchi...
  12. Deejay nasmile

    Nini maana ya 'kuoana'

    Wakuu naomba maana ya maneno haya! 1.Kuoa 2.kuolewa 3.kuoana Mi naona yananichanganya hivi,hasa hilo neno KUOANA
  13. marcoveratti

    Wazazi wa binti wa Kilokole wamenikataa hata baada ya kusema nitabadili dini na kuwa kama wao

    Nimempenda binti wa kilokole sanaa, mnooo na nataka kumuoa. Sujaomba hata busu nikaomba kwenda kwa wazazi wake ili nifuate taratibu zote na si uchochoroni. Cha ajabu wazazi wa binti wamekataa kisa mimi sio wa imani yao. Nikasema okay, mimi nakuja kuokoka na nitakuwa muumini wa kanisa lao bado...
  14. G

    Kwani lazima kuoana?

    Personally nadhani ndoa ziko overated siku hizi na siamini eti ndoa inakuepusha na mambo mengi. Wanawake sasa hivi wengi wameamka na nadhani it's better to be careful kabla hujaingizwa kwenye huu mtego wa commitment especially na wanawake ambao wako in their early 30's kwani they have this...
Back
Top Bottom