Kuna jambo lazima wanaume mliielewe

katoto kazuri

JF-Expert Member
Feb 10, 2018
6,083
5,659
Wanaume hawajui kutofautisha jamboo.
Leo nawaelewesha jambo hili na nikuhusu SINGLE MOTHERS.
kuna muda na pitia post nyingi na niza single mothers.
Hawa single mothers ni wakina nani??
Single Mothers ni wanawake wanaoishi na watoto /mtoto bila baba kupata malezi ya baba au kuishi na baba karibu.

Swali linakujaje kwanini hao watoto hawakuzwi na baba?
Utakuta alifariki Au waliachana kwa matatizo yaliyojitokeza kama haya.
Mwanaume ni mlevi anampiga mkewe au mwanaume malaya anahatarisha afya ya mkewe mke akaamua kuondoka nyumbani.

Ama mwanamke hapewi pesa ya matumizi na anateseka kulea familia na mhusika ndani ambaye ni baba na anauvaa uhusika huo kuitunza familia sasa ndio anachukua jukumu lakwenda kukaa na watoto wake.
Ama mwanamke yupo busy au ni malaya hajatulia na ameona kwa mumewe hakumpi uhuru wakuishi atakavyo so sualahili la masingle mothers wapo kwenye makundi tofauti mengi.
Kundi jingine niliko hivi mwanadada au msichana anamahusiano mazito na mume wa mtu na kwa mapenzi maziti akazaliwa mtoto na kwasababu zilizonje ya uwezo mwanaume anatelekeza mtoto na mama ake.
Kundi jingine shuleni labda ni chuo au secondary au msingi wanafunzi wamepeana mimba nakwasababu ya aibu mzazi wa msichana anamfukuza msichana na anatelekezwa na babe wake au kijana na kulea peke yake so ndio hivyo.

Kundi jingine ni tamaa tu na ujana huo unajikuta umepata mimba tena kwa group au watu kadhaa kukuingilia nakujikuta mjamzito.
Kundi jingine ulikuwa unajiuza na hujatulia kila mtu wako na ukapatikana kwa mmoja akafunga goli ukawa na mimba ukalea mwenyewe.
Kundi la mwisho ni wale ving'ng'nizi hupendwi unakuja tu hadi unaona kutegesha mimba ndio dili mwisho wasiku unatemwa unakuwa single mother.
Kwa hiyo hayo makundi ndio yanaleta SINGLE MOTHERS .

KWANINI HAOLEWI NA SINGLE BOYS
Kwasababu muda mwingi wanadedicate maisha yao kwa watoto wao.
Hata ukioa mwanadada asiyenamtoto akija kuwa na mtoto muda wake mwingi mapenzi yake ni mtoto hiyo ndio chanzo kingine.

Na pili wao huwa wameshazoea kwamba urafiki kwa wanaume ni ule ambao ni wakupewa matumizi wakidhi hitaji au mahitaji ya familia yake hata akiwa anakazi hawezi kutotimiza kila jambo kwa wakati.
Kuna waliozoea kuwa hii ndio biashara yake na huko ndio kipato kipo kwa maana aliteseka kukuzamwenyewe na anaendelea kuhudumia familia.
Nanirahisi kujisimamia ila sio rahisi kukataa .
Tayari kashajijengea kuolewa ni ngumu kujikubali asilimia kubwa imepotea yaani kujikuta kuona kuwa atapata mtu sahihi wamaisha yake.
Natena hujitafutia risiki yake kwa nguvu kubwa ili wanawe wasipungukiwevna chochote ila kwa kuolewa wanaona sio rahisi kwasababu ya familia tayari anayolea.
Masingle mothers wao akili zao ni jinsi gani yakutafuta hela ya kuitunza familua basi.
Kuolewa ni last option kwasababu anamajukumu mengi mno.
Yeye ndio kila kitu kwenda mikono mitupu kwao nikama umekuja kwa paka bila maziwa.
Kwa maana anategemewa

KUPATA WENZI WA MAISHA
Single mothers walionaumri sahihi wakuolewa huolewa na wale masingle fathers hapo ni rahisi kuishi kwa furaha kwasababu anaolewa na mtu ambaye wanamaisha yanayoendana.
Ila kuna baadhi huingia ndani nakuwatesa watoto wa yule baba .
Ila masingle boys huwakata masingle mother maana wanaona kama ni mzigo kwao ili hali ni wao ndio waliowafanya wawe hivyo.
Unakuta umemzalisha halafu unaenda kuoa mwingine na huku ulimwaribu mwenyewe.
Ujue Mungu aliumba adam na eva wajaze ulimwengu .
Ila sio kuwatelekeza mama na mtoto nakwenda kuoa mtu ambaye hajazaa hiyo sio sawa.
Umeshamwaribu kisaikologia halafu unaenda kuoa kipya sasa hizo laana mnazipeleka wapi?
Oeni huyo huyo uliyemzalisha mnakaa kuwasema humu eti hawafai nahuku ni product mlizoziproduce wenyewe limtu halijaoa liko natafuta mke wakuoa niko serious ila na mtoto niliyezaa nje kwank umeoa hapo ulipo??

Yaani mnakera oeni hao hao mliowachezea kama mpira sio mkaleta kipya iliingiaje si siku moja na ndoa kwani siku ngapi mmengewaoa wskashindikana hapo sawa .
Nashangaa sana mnaoa watu wengine halafu mnapata shida tena.
Wanaume nyie ni stress hivi unaoa kipya yule aliyekuzalia anajisikiaje ??
Kama mfano joti kazaa na mtu mwingine kaoa mwingine.

Imesemekana hivi oaneni ili mkaijaze dunia haya nyie wawapa wenzenu mimba kulea hamtaki ila kuoa mnaoa mnashughuli mseme leo shida yenu iko wapi kuoa mwanamke uliyezaa naye??
Tamati ni hii wanaume nyie ndio mmecreate single mothers penda msipende mngetomba kwa akili hizi shida za kuwatusi humu ndani masingle mothers yasingekuwepo.
Unatarajia kumla single mother bila pesa unaakili kweli watoto wake wale nini shubamit nyie wanaume ni watu wenye roho ngumu sana.
Mimi nimewaelewesha wanaume kuhusu hili suala ambalo shida ni nyie.
 
Single mom, wengi wana matatizo sana.
Unaweza kuwa na mwanamke ukamzalisha, sasa cha ajabu. Kuingia kwenye ndoa ika mtihani.
Anachotaka yeye mwanamke kifanyike kwasababu ana mtoto wako na anataka atumie mtoto kama kukuendesha km gari bovu.
Usiingie kwenye ndoa kwa kumuonea huruma mwanamke, utaumia
 
98%
 
Wanawake, ukipendwa pendeka.
Mambo yangu unaenda kuwasimulia mashosti wako ili iweje?
Tumekula kuchukuchu ni sisi, uki publicize unakula kibuti
 
🤔🤔🤔 single mothers ni jabari myingine aisee. Sasa unazaa na mwanamke anakuwa hana msimamo mzuri kwa Nini usioe mwingine. Wengi wakizalia nyumbani wanakuwa sio watulivu kusubiri mchakato wa kuwekwa ndani.
Ungemuoa tu sio umuache kwao
 
yani kuna watu napenda kusoma mada zao ila wananitesa sana na uandishi wao..1.Lemutuz 2.Katoto kazuri yani utaratibu wa kuacha nafasi,kutenganisha aya na aya hawaujui kabisa kiufupi wao kanuni za uandishi hawana mpango nazo ilimradi tutasoma kwisha.

Sema poa,nimejitahidi nimesoma japo kwa mbindeeee,namalizia kwa kusema hiviiiiii Single mother ninae muelewa ni 1.Aliyefiwa na mwenza wake (huyo naoa)
2.Aliyebakwa au lazimishwa kufanya mapenzi kwa tamaduni au sababu yeyote ikapelekea yeyey kupata ujauzito na kuwa na mtoto (huyo naoa pia)

Ila single mother yeyote aliyetoa papuchi akajitanua kwa furaha kabisa wakat wa tendo halafu akaja achana na mwenza wake iwe kwa kuonewa yeye au kwa sababu nyngine yeyote (sioi hata kwa fimbo,akatafute single father mwenzake)

Kina dada kueni makini kupita maelezo...umeshafanya makosa leo hiii hauna bikra na aliyeitoa haupo nae PLEASE usirudie tena kukosea kuzaaa na mwanaume ambae hato kuoa...(jitieni vichwa ngumu,umaskini na tamaa zitawaponza)

hi SINGLE MOM'S;););)
 
Back
Top Bottom